GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,738
- 109,177
Ngoja nituloe kidogo leo,nimeng'enye kwanza labda nitakuelew maana bado naona upuuzi...tu
Ukute wewe Ni Bashite
Nadhani unakumbuka zama zile inapokuwa likizo Hostel zilikuwa zinakodishwa na baadhi ya Taasisi ikiwamo za Dini nk kwa ajili ya Makongamano yao na course fupi
Sidhani kama ni vibaya Kuzitumia kwa matumizi haya yanayosababishwa na Pandemic hii. Pia tukumbuke Chuo ni cha Serikali na Wizara zote mbili ni za Serikali hiyo hiyo, hivyo ni Akili kubwa sana imetumika baada ya kusikia kilio cha wanaopelekwa kwenye Hotels za gharama Kubwa. Hata Kule Mbeya wametenga Shule
Kuna uwezekano hawajapanga kufungua taasisi za Elimu hivi karibuni.GENTAMYCINE nauliza hivi leo hii Serikali Kuu ikija na Tamko la Jumla kuwa Shule zote na Taasisi za Elimu ya Juu ( Hostels hizo za Magufuli ) zilizo chini ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam ( UDSM )ikiwemo Wanafunzi waliokuwa wakikaa hapo wataenda Kuishi wapi?
Je, Mamlaka iliyoamua hili la Hostels za Magufuli kuwa za Wanakarantini wa CORONA ( COVID-19 ) ilikaa Kitako na Wizara husika ya Elimu nchini Tanzania ndipo wakaja na haya Maamuzi au ni Mwendelezo wetu ule ule wa Waswahili wa Kukupenda Kukurupuka na Kufanya mambo ya Zimamoto?
Nauliza tena je, Akili Kubwa ilitumika katika Kuliamua hili au ni Akili tu za ' hovyo hovyo ' ndizo zilitumika?
Nawasilisha.
Naipenda serikali ya awamu ya Tano.
Lakini kwa hili imenisikitisha mno.
It seems inatamani wanafunzi waendelee kukaa nyumbani.
Akili kubwa haikutumika, Bwana GENTAM