Je, akili inaweza kuudhibiti moyo?

Je, akili inaweza kuudhibiti moyo?

Hii ni issue ya kisayansi sio issue ya kidini,
Toka lini Moyo ukabeba hisia? Kama ni imani basi endelea kuamini ila uhalisia haupo hivyo,
Huwezi kusema kinachokula chakula ni miguu wakati chakula hupitia mdomoni,yani kazi inayofanywa na brain wewe unataka kutuaminisha kua kazi hiyo hufanywa na Moyo!
Hapana haipo hivyo hapa masa ni kwamba kipi kina controll chenzake usichojua ni moyo unaobeba hisia akili haiwezi fanya kqzi kama hisia zinakataa tumeona wangapi wanakatazwa kumpenda mtu fulani lakini mtu huyo hakomi na haachi kpenda
 
Labda kile kitendo cha kuona jambo na moyo ukatekeleza amri kwa kuongeza mapigo ili damu ifike haraka kwenye misuli, ndio wanaona kama moyo umefanya maamuzi 🤔
 
Bwashee,ukimpenda mtu ghafla au likitokea jambo la hatari,mapigo ya moyo huongezeka kwa kupokea amri kutoka kwenye ubongo aina ya Celebrum,sasa hapo wamatumbi ndio huamini kua kazi ya kupenda imefanywa na Moyo.
 
Hapana haipo hivyo hapa masa ni kwamba kipi kina controll chenzake usichojua ni moyo unaobeba hisia akili haiwezi fanya kqzi kama hisia zinakataa tumeona wangapi wanakatazwa kumpenda mtu fulani lakini mtu huyo hakomi na haachi kpenda
Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa uelewa mkuu,
Hata kukuelewesha itakua ni kazi bure tu.
 
nimeuliza kwanini mkiwchana wapenzi wawili kiungo kinachoumia ni moyo na sio akili,unapata heart attack kwasababu shambulio lipo kwenye moyo uliobeba hisia hapo hata akili utumiaje usiumie ni bure
Shambulio hili huanzia kwrnye mishapa inayolisha moyo na sio kwenye misuli ya moyo
 
Hii mada ipo nje ya uwezo wako wa uelewa mkuu,
Hata kukuelewesha itakua ni kazi bure tu.
Sio kama umekosa maarifa ya kuchakata majibu umebaki njia panda hivi kweli unaanza kupenda kutumia akili au hisia zilibebwa kwenye moyo,akili inaweza kukuambia yule mwanamke ni mkubwa ki umri kwangu lakini nampenda hiyo lakini nampenda ni hisia zilizopo kwenye moyo
 
Back
Top Bottom