Kwa ufupi, AI inabadilisha jinsi binadamu anavyotafuta maana ya maisha na majibu ya maswali magumu, jambo ambalo kihistoria lilikuwa jukumu la dini pekee.Tena hasa ikitumiwa kwenye Quantum computer ambayo ina uwezo wa ku solve complex problem zaidi ya moja kwa pamoja ( superposition ), sio kama computer za kawaida ina solve moja moja, hivyo inafanya wanasayansi kuhisi huenda Quantum computer ina access taarifa kutoka kwenye dimensions nyingine, hii inafanya Iwe bora zaidi pia hatari maana hatujui ni nini hasa inaweza kufanya
ILa sizani kama quantum computer inaweza kutumia AI.. mkuuTena hasa ikitumiwa kwenye Quantum computer ambayo ina uwezo wa ku solve complex problem zaidi ya moja kwa pamoja ( superposition ), sio kama computer za kawaida ina solve moja moja, hivyo inafanya wanasayansi kuhisi huenda Quantum computer ina access taarifa kutoka kwenye dimensions nyingine, hii inafanya Iwe bora zaidi pia hatari maana hatujui ni nini hasa inaweza kufanya
Ila Ai ni codes tu, mfano chatgpt ipo vizuri ila inatumika kwenye computer za kawaida je imagine vipi siku code zake zikitengenezwa kwenye quantum computer itakuajeILa sizani kama quantum computer inaweza kutumia AI.. mkuu
Mi naona quantam computer ni bora mara 1000 zaidi ya AI, so poa kulinganisha quantam computer na AI ...
Quantum computer kwa sasa ni project hakuna mtu binafsi anaye imiliki inasemaka" ikianza kutumika itabadili kabisa mfumo wa ubin adam , sababu itaweza kutengeneza hadi mbegu za mazao zitakazo himili hali ya hewa, zaidi
Quantam computer itaweza kusolve mambo ambayo AI haiwezi , AI ni mfumo uliowekwa wakuchakata Data, na kupambanua mambo ila yote hayo AI inaweza kwasababu imejazwa taarifa ila haiwezi kufikiri au kufanya kazi za kila siku zinazohitaji ujuzi kulingana tatizo. Kama AI ikitumika kama roboti ya uokozi itafanya kile amewekewa uokoaji tu haina ukarimu " haiwezi kukuokoa wewe na vitu vyako vya dhamani ikitokea meli ikizama ,sababu hajui kujiongeza,haiwezi kuuliza sabubu imejazwa majibu tu ya mambo mbalimbali
Lakini Quantum computer ni zaidi ya AI na zaidi Itabadili mfumo wa maisha ,ila ustaarabu, utu, tafakuri, utambuzi,hekima utabaki kwa bin adam, yote yapo chini yetu ni juu yetu tutamia kwa namna gani..
QUantum ni kama ndege ya angani AI ni rubani tu, AI haina ujanja wowote kwenye Quantam computer, image AI inaweza kuchakata data na heasabu ngumu ila haiwezi kuchakata mamilion ya hesabu kwa mara na kutoa jibu mara moja lazima itazidiwa ,AI ni kikokoteo tu mbele ya quantum computer,Ila Ai ni codes tu, mfano chatgpt ipo vizuri ila inatumika kwenye computer za kawaida je imagine vipi siku code zake zikitengenezwa kwenye quantum computer itakuaje
Anakuandikia saea yy nani, ?Me nimetokea kuikubali sana nina project yangu fulani ya documentary kwa jinsi AI anavyoniandikia scripts aisee ni maajabu