JCB: sikuzomewa..jamiiforum imeusika kusambaza uzushi..

Aisee nimemsikia jamaa ila kwa kuwa naijua level yake ya elimu aikunisumbua sana saana kuweka humu
anyway ni kijana jamanipengine amefanya hayo kuitambulisha jf sijui anyway
 
Aisee nimemsikia jamaa ila kwa kuwa naijua level yake ya elimu aikunisumbua sana saana kuweka humu
anyway ni kijana jamanipengine amefanya hayo kuitambulisha jf sijui anyway

kumbe nawewe umemsikia.. Amejitambulisha vyema ndani ya jf..
 
mKUU,
Naweza kuwa niko Arusha , lakini Umri mkuu!...Umri hauruhusu kuingia matamasha ya hivo...Mi na rafiki yangu Ngongo tuambie wapi wako Serengeti Sound, ili tukasikie "Embe dODO LIMELALA mUCHANGANI"
Swadakta... haya ndio mambo
 
leo ndo nimeamini usisikilize neno la kuambiwa...lazma litakuwa limepunguzwa au kuongezwa tehe tehe tehe!
 
nilisikia anasema eti" niliambiwa na mshikaji wangu eti nasemwa jamiiforums. akaniambia nifungue jamiiforums halafu sijui niingie sijui celebrities sijui nini halafu sijui niclick sijui wapi huo ni uzushi mtupu" mwenyewe analikuwa anasema. Mia
jcb bana....ila hii si wameikopi toka kwa raisi wako jk
 
amesema watu hatuzungumzii mazuri anayofanya..tunazungumzia mabaya.kwahiyo basi wanaojua mazuri yake wayaseme hapa.
JCB alikuwa jembe la ukweli lakini hivyo vichenji maiti alivyoshikashika vinamzingua kashindwa kuiorganize watengwa kundi lishasambaratika afu Tangia Chindo asleep hawajatoa mix tape yeyote aangalie watengwa isimfie mkononi Kama hardcore unit hatutamuelewa....Leo anadiss maunder ground wakati Hao ndo wateja wakubwa wa street version mix tapes za watengwa aache uchapati
 
Nilikuwa kwenye show., nani kweli amewadis undergrounds na kusababisha fujo., hadi polisi wakaja kwenye mazingira ya show., mawe yalirushwa jukwaani na sio watu kurushiana., batoo wa mj fm akamuombea msamaha baada ya kushuka jukwaani na show ilibidi ikatishwe kwani alipanda huyu dogo simjui kwa jina aliyeimba "naenda kusema kwa mama ikabidi akate show katikati coz palishanuka na mapolisi walishafika..! Huo ndo ukweli..! Nilikuepo nimeona na kushuhudia..! Aache kujitetea hovyo., kuna mtu (rafiki yangu) alikuwa na camera kama hiyo part aliichukua itawekwa hadharani tuone akibisha
 
Mtu mwenyewe wanaomjua ni wachache halafu makelele mengi. Mimi pia sijui anaimba nini
 
Juma ni yuleyule umaarufu haujanibadilisha...
Kichwani ni kipara style ya kiduku itapita...

Jay Moe
 
Juma ni yuleyule umaarufu haujanibadilisha...
Kichwani ni kipara style ya kiduku itapita...

Jay Moe
Mwamba naona umetia maguu huku kutoa somo na kuwaelezea makiza kama juma mchopanga ni bad news na kama tunda ni nazi na si embe sokoni ambalo linakuwepo kwa msimu!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom