JBL flip essential Vs JBL flip 5 IPi Bora watalaamu

JBL flip essential Vs JBL flip 5 IPi Bora watalaamu

Mtukutu Mkuu

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2022
Posts
1,149
Reaction score
1,450
Mimi ni mdau mkubwa wa kusikiliza muziki kuna hii brand ya JBL nimeiona hawa wanamuziki muzuri Sana

Lakini nimevutiwa na HIZI model zao JBL flip 5 na JBL flip essential IPi Bora yenye muziki muzuri Kati ya hizi na je unawezaje fahamu kama fake au OG

Nawasilisha

Pichani ni JBL essential
IMG-20220808-WA0008.jpg
 
Nenda na JBL 5 japo essential sijawahi kuitumia ila flip 5 habari nyingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom