t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,120
- 16,961
South ina bei nafuu sana kwa vitu vya electronic , mwaka 2011, niliagiza bluetooth speaker ya Sony srs btx 500 kutoka e bay, nilipa kama Dola 260 kwa wakati huo, wiki mbili baadaye nikapata trip ya Sa, ile narud nipo duty free shop naikuta same speaker kwa bei ya 160 usd .Mie nilinunua SA tena ilikuwa kwenye maonesho ya vifaa vya kumpyuta. Sikwenda kwa ajili ya hizo speaker nilinunua kwa kuwa nilizielewa sana na nilikuwa natafuta Bluetooth speaker na niliweka uzi kabisa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app










