Mwambawetu
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 25,401
- 34,377
DARAJANIWapi hapo nijichange niifuate chap
DARAJANIWapi hapo nijichange niifuate chap
Nwomba kupata maelekezo zaidi maana mimi sio mwenyeji visiwani hukoDARAJANI
Nyie nunue tu kwa bei mkasi kiasi hicho ila sisi wengine tunasubiri mzichoke mpaka zishuke bei ya elfu 50 ndo tukazichukue, siwezi toa laki 6 kwa kitu kidogo kama hicho, niliziona miaka furani kwenye wimbo wa chris Brown na sasa wabongo mmeanza kuzimiliki, zitashuka tu kama ilivyokuwa sabufa leo hii mpaka ya 30k unapata,
Hakina mziki hicho, hamna kitu hapo.Icho nilinunuaa 130000View attachment 1727630
Kuna tofauti kubwa sana kati ya mziki na makeleleKwan hizi Bluetooth speaker za 10 hazisikiki?
Yaan hiyo 600 ni sound ya maana getto
Hicho kidude kina sauti ya kuhudumia home?