Huna taarifa matumizi ya neno mikoani yalikoma tu pale makao makuu ya nchi yalipohamishiwa dodoma? Kwa taarika yako nikwamba Dar nako ni mkoani na hata mvua zinazoendelea ni za palizi ya pili!That's why wanaume wa mikoani hawaufagilii sana huu mtandao pendwa wa huku dar, unakuaga na slogan zenye utata kidogo, doh.....
This can't be true.
Wewe ndo hujui, Dar sio mkoa ni jiji, Dodoma sio jiji ni mji mkuu wa Tanzania. Na sio kwamba makao makuu ya nchi yamehamishiwa Dodoma coz miaka yote yalikuwapo huko, walichohamisha ni wafanyakazi na baadhi ya ofisi kwenda Dom, au wewe miaka kadhaa nyuma ulikua unajua Dar ndo makao makuu??? Kama ndio pole sana, yalikua Dodoma kitambo sana, usidhani yameanza baada ya kauli ya Magu.Huna taarifa matumizi ya neno mikoani yalikoma tu pale makao makuu ya nchi yalipohamishiwa dodoma? Kwa taarika yako nikwamba Dar nako ni mkoani na hata mvua zinazoendelea ni za palizi ya pili!
Yaani nimecheka mpaka naonekana screw imelegea hapa.This can't be true.
Ha ha ha unajua bongo wahun wengi wamefanya hivo mkuuKuna mpuuzi kaedit hyo
Ukitaka kula, lazima na wewe uliwe. Sasa wewe unataka kula tu bila kuliwa? Haiwezekani..(in JK tone)