Jazwa ujazwe.

Jazwa ujazwe.

lakini tigo nafikiri shetani wao ni ufiraunii, kwasababu hata jina lao limeleta maana ya usodoma na hawajawahi kudenounce, wanatangazwa na jotti anayeigiza ushogga yote ni ufiraun, kila kitu tigo wanafanya mlengo wao ni usodoma na gomora na hawajawahi kudenounce icho kitu. hawa ni watu wa mombasa tu. mtu na akili zake ataletaje slogan kama hiyo? mbona mitandao mengine wanaleta slogan za watu straight sio za ushogashoga hizo? why only them?

sodomy ndio brand yao.
 
2b5d5f4647f7c20e5a95b15ef9ba21b5.jpg

Kumbe sio maana hii? Mwe [emoji85][emoji38][emoji87]
 
Back
Top Bottom