Cha Bure mjini ni salamu tu

Cha Bure mjini ni salamu tu

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,071
Reaction score
7,793
Remi ongola aliimba "wemaaa kweli wema kumanyooooko"!.

Kabla ya kuomba kitu lazima ufikirie cha kutoa in return. Kinyume na hapo lazima nyama kwa nyama ihusike haijalishi wew ombaomba na unae muomba mnajinsia zipi. Mjini toa upewe, weka uwekwe, au jaza ujazwe!?

Punguzeni sana wema , Kila mtu ana mtu wake muhimu kuliko wewe..!!!adiossssssss!
20260709_064332.jpg
 
Remi ongola aliimba "wemaaa kweli wema kumanyooooko"!.

Kabla ya kuomba kitu lazima ufikirie cha kutoa in return. Kinyume na hapo lazima nyama kwa nyama ihusike haijalishi wew ombaomba na unae muomba mnajinsia zipi. Mjini toa upewe, weka uwekwe, au jaza ujazwe!?

Punguzeni sana wema , Kila mtu ana mtu wake muhimu kuliko wewe..!!!adiossssssss!View attachment 3626979
Numempenda huyo Mbappe.
 
N

Do upost kabila letu na sketi zetu mkuu.?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom