Jaza Ujazwe

Red Scorpion

JF-Expert Member
Feb 1, 2012
5,736
4,252
*Dada mmoja kachoka vituko vya mumewe akamwambia 'bora ningeolewa na shetani kuliko wewe'...mumewe akajibu 'dini haziruhusu mtu kuolewa na ndugu yake'...* .
 
Back
Top Bottom