Jay Dee na Gadner watimiza miaka 5 ya Ndoa

very nice couple,ni mfano wa kuigwa hapa nnchi na mastar wengine,M ungu awajalie heri na baraka miaka mitano ya ndoa kwa maisha ya sasa si mchezo!
 
duh ....call me a hater all u want ....but sijapenda uvaaji huo siku ya ndoa.

na ndo mungu kajua kumuweza lady jaydee.................hata akae uchi vipi mvuto zero.

mungu awajaalie ndoa itakayodumu milele -ameen

kwenye maombia siku zote mapepo lazima yaanze kuchomoka

Nawatakia tena heri na fwanaka kaka na dada
 
Hiyo ndoa haikufungwa kanisani na nadhani sabab kubwa ni kwamba huyo mume alikwisha kuoa ni mume wa mtu huyo na nasikia tayari ana mtoto 1 sasa sijui ni vipi...na ndo maana hata biharusi amevaa hicho kivazi...kuhusu mtoto labda hawajapanga, au bibi ana matatizo, au kutokana na ubusy labda ni ngumu kupatikana yote yawezekana...Kama hiyo ndo ni ya halali basi Mungu ataidumisha kama wanvyoomba....Lakin kama amepora mume wa mtu ni mungu pia ndo anaejua...:hug:
 
Ndoa ilifungiwa ndani ya meli. Inanikumbusha miaka ile kina Mbili Bel na Tabuley walivyofungia ndoa yao angani kwenye ndege. Mmmh, mambo hayo!
 
Mungu awape Maisha meme ila vibonde na vilima kwenuye ndoa yenu vimezidi vipunguzeni ili muishi milele hadi Mungu atakapowatenganisha. Na dada vilima na vimabonde kila vikitokea unaviimbia kwa nini? vipo kote tu usiimbe imba mambo mengine au kama umejikita kwenye hivyo imba wakati wote viwepo au visiwepo.
 
Hiyo ndoa haikufungwa kanisani na nadhani sabab kubwa ni kwamba huyo mume alikwisha kuoa ni mume wa mtu huyo na nasikia tayari ana mtoto 1 sasa sijui ni vipi...na ndo maana hata biharusi amevaa hicho kivazi...kuhusu mtoto labda hawajapanga, au bibi ana matatizo, au kutokana na ubusy labda ni ngumu kupatikana yote yawezekana...Kama hiyo ndo ni ya halali basi Mungu ataidumisha kama wanvyoomba....Lakin kama amepora mume wa mtu ni mungu pia ndo anaejua...:hug:
wee mama weee!!!!:angry:
 
Hiki kivazi cha Shem kilitinga Mazabauni?? Duh!..

Hongereni na Mungu akawabariki. Akawafungulie milango ili nanyi mpate pia kuijaza dunia kama ilivyo ahadi yake ya zaeni mkaongezeke mkiwa Mume na Mke wa Ndoa!
ndoa ya Bomani au hapo huoni ndio shughuli yenyewe?
 
duh ....call me a hater all u want ....but sijapenda uvaaji huo siku ya ndoa

Na mi pia! hapo lazima mchungaji atakuwa anaangalia juu na chini kila mara ili asijaribiwe....lakini hataweza kumuangalia bi harusi moja kwa moja...

Ni maoni tu
 
babu kijana tunatoa hongera kwa kutimiza miaka mitano ya ndoa( si jambo dogo) na dua pia tunamuombea waendelee kudumu

lakini kivazi hicho siku ya ndoa kinaendelea kusimama ni big no! tusisifie tukazidi kuharibu maadili ambayo tayari yanaelekea kubaya
 
Na mi pia! hapo lazima mchungaji atakuwa anaangalia juu na chini kila mara ili asijaribiwe....lakini hataweza kumuangalia bi harusi moja kwa moja... Ni maoni tu

Nadhani kuna watu either hawana washauri wazuri au pengine hawashauriki. Yameshapita ....lakini hiko kivazi cha bi harusi mmmh!
 
Hiyo ndoa haikufungwa kanisani na nadhani sabab kubwa ni kwamba huyo mume alikwisha kuoa ni mume wa mtu huyo na nasikia tayari ana mtoto 1 sasa sijui ni vipi...na ndo maana hata biharusi amevaa hicho kivazi...kuhusu mtoto labda hawajapanga, au bibi ana matatizo, au kutokana na ubusy labda ni ngumu kupatikana yote yawezekana...Kama hiyo ndo ni ya halali basi Mungu ataidumisha kama wanvyoomba....Lakin kama amepora mume wa mtu ni mungu pia ndo anaejua...:hug:

kwanini jamii hukimbiliaga kusema mwanamke ndio anatatizo ikitokea ishu kama hii, mwanaume anaweza kuwa na tatizo pia jamani...kila a kheri jide.
 
duh ....call me a hater all u want ....but sijapenda uvaaji huo siku ya ndoa.

na ndo mungu kajua kumuweza lady jaydee.................hata akae uchi vipi mvuto zero.

mungu awajaalie ndoa itakayodumu milele -ameen

uwiiiii....
 
Hiyo ndoa haikufungwa kanisani na nadhani sabab kubwa ni kwamba huyo mume alikwisha kuoa ni mume wa mtu huyo na nasikia tayari ana mtoto 1 sasa sijui ni vipi...na ndo maana hata biharusi amevaa hicho kivazi...kuhusu mtoto labda hawajapanga, au bibi ana matatizo, au kutokana na ubusy labda ni ngumu kupatikana yote yawezekana...Kama hiyo ndo ni ya halali basi Mungu ataidumisha kama wanvyoomba....Lakin kama amepora mume wa mtu ni mungu pia ndo anaejua...:hug:

hivi kumbe bwana hawezi kuwa na matatizo ya uzazi eeh??? poor you!!!

hiyo habari ya mtu kupora mume wa mtu sijui nini, mbona hapakuwa na pingamizi ili ndoa isigungwe?? maana ndoa iwe ya bomani au ya kidini lazima uweke tangazo tena in their case ilikujulikana zaidi....

hay huyo aloibiwa mume haukusikia tu????????????????
 
nyamayao ........

kuna kina ray c na kina aunt ezekiel ....wanakaa uchi na watu wengi wanavutiwa na muonekano wao. but jaydee mie naona anafanya tu na outcome yake ni zero. angevaa kiheshima au kuvaa uchi watu wangempenda sawa tu kwa nyimbo na uimbaji wake. nguo zake or lack thereoff hazimuongezei wateja
 
Hongereni kwa kufikisha miaka 5. Kavazi ka shemeji kalikuwa off topic no am sorry off madhabahu kalitakiwa ka editiwe kwanza.
 
nyamayao ........

kuna kina ray c na kina aunt ezekiel ....wanakaa uchi na watu wengi wanavutiwa na muonekano wao. but jaydee mie naona anafanya tu na outcome yake ni zero. angevaa kiheshima au kuvaa uchi watu wangempenda sawa tu kwa nyimbo na uimbaji wake. nguo zake or lack thereoff hazimuongezei wateja

Gaijin bwana, yaani jitihada zake zinagonga ukuta...lol,sema kavazi hako kana utata ki ukweli, sio kabisaaa.
 
jamani ni mchungaji nani aliruhusu hii ndoa kufungwa na kivazi hicho cha Jeydee ..siku hizi mbona wanawarudishia mlangoni kama umevaa kiajabu ajabu
Nimekwazika na vazi la Lady Jeydee
 
hahaha Geoff bwana........naona umekuja na the truth will set u free
 
Back
Top Bottom