Hili Joto la hasiraa ambaaa...!!! Na RUGE mwenyeweee yelelaaa... Heri mkae kimya tu, otherwise mtaendelea kuumbuka... kubalini team anaconda kawashika...
asante kwa kunichekesha maana siku ilikuwa inataka kwisha bila kuchekanaona jana baada ya kuaibishwa kwenye show ,unatafuta pakutokea, safari hii umechambia sime kudadadeki
watu wachache vile moja kwa moja ni hasara, atakopwa tuHalafu licha ya KIPIGO alichopata MwanaFatuma ile hela sio yake anasubiri apewe mgao na Mliberali Ruge... Jide kapiga show na mkwanja wote ni ndani ya himaya na Machozi Band. Miaka 13 kwenye game si mchezo, acha dada afunike tu.
Halafu licha ya KIPIGO alichopata MwanaFatuma ile hela sio yake anasubiri apewe mgao na Mliberali Ruge... Jide kapiga show na mkwanja wote ni ndani ya himaya na Machozi Band. Miaka 13 kwenye game si mchezo, acha dada afunike tu.
hahahaha, clouds wameumbukaaaaaaaaaaaaa
Wameumbuka kivipi ilhali huyo kibibi ndiyo aliyeanzisha bifu?
Sasa madai ya kwamba anazibiwa riziki yanatoka wapi kama kaweza kupiga show ambayo mnadai ilikuwa haitoshi? Nani anamzibia hiyo riziki na anazibiwa kivipi?