jay dee alitunyonya sana mandojo & domokaya

aka2030

JF-Expert Member
Jan 5, 2013
2,627
3,570
Wakizungumza na mzee wajikoni blog wamedai kipindi walipotimuliwa na majani na kuhamia kwa jaya dee na gadner kupitia kampuni yao ya jag waliwanyonya sana kwani pamoja na album yao ya taswira kuuza sana waliambulia milioni 2 kila mmoja
Source mzee wa jikoni
 
Kipigo cha jana hamtakisahau mnatangaza tiketi zimeisha kumbe wizi mtupu
 
naona jana baada ya kuaibishwa kwenye show ,unatafuta pakutokea, safari hii umechambia sime kudadadeki
 
Hili Joto la hasiraa ambaaa...!!! Na RUGE mwenyeweee yelelaaa... Heri mkae kimya tu, otherwise mtaendelea kuumbuka... kubalini team anaconda kawashika...
 
Halafu licha ya KIPIGO alichopata MwanaFatuma ile hela sio yake anasubiri apewe mgao na Mliberali Ruge... Jide kapiga show na mkwanja wote ni ndani ya himaya na Machozi Band. Miaka 13 kwenye game si mchezo, acha dada afunike tu.
 
watu wachache vile moja kwa moja ni hasara, atakopwa tu
 
Halafu licha ya KIPIGO alichopata MwanaFatuma ile hela sio yake anasubiri apewe mgao na Mliberali Ruge... Jide kapiga show na mkwanja wote ni ndani ya himaya na Machozi Band. Miaka 13 kwenye game si mchezo, acha dada afunike tu.

Sasa madai ya kwamba anazibiwa riziki yanatoka wapi kama kaweza kupiga show ambayo mnadai ilikuwa haitoshi? Nani anamzibia hiyo riziki na anazibiwa kivipi?
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom