"Jau" ina maana gani?

"Jau" ina maana gani?

Hili neno nimewasikia sana vijana wa Daslamu wakilisema ila sijawahi kuelewa maana yake ni ipi?

Nini maana ya neno "JAU" ?
Una umri gani kwanz mkuu,,hili neno huwezi msikia mtu wa umri wa miaka 40+.
Hayo ni maneno ya mitaani kama wakati ule wa miaka ya 80-90.
Neno kavu,mjomba nishai
 
Pia kuna "mambo ya kiwaki" kiwaki ina maana gani hasa.? Wa kuelezea hii kwa kina
 
Back
Top Bottom