jaribuni kuwa na subira ndugu zangu

mwakuna

Member
Sep 19, 2012
6
1
Watu sasa imekuwa shida..dah!,,maana maamuzi ambayo wanachukua..
..siyo kabisa(maombi yangu ni kuwataka kuwa wavumilivu ktk kipind hiki kigumu wakati mnasubiri mtazamo na hatua zingine ili kusonga mbele)
....kweli yavunja moyo lkn usijaribu kupaniki kwani unaweza kujikuta unafanya maamuzi ambayo si sahihi.
 
Pa1 kaka,ata m cjaona jna langu!majna hayo yatajumuisha kund lp la waombaj?tafadhal naomba kujuzwa!
 
Back
Top Bottom