Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,551 Reaction score 22,840 Saturday at 10:41 PM #61 Lamomy said: 😹😹😹 Cc kichogo corn Click to expand... Kichogo upo kumbe unachekacheka tu🙂
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 39,599 Reaction score 95,273 Saturday at 11:19 PM #62 Nomadiq said: Kichogo upo kumbe unachekacheka tu🙂 Click to expand... Naumwa bana 😥
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,551 Reaction score 22,840 Sunday at 7:49 AM #63 Lamomy said: Naumwa bana 😥 Click to expand... Unaumwa nini! Pole
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 39,599 Reaction score 95,273 Sunday at 9:18 AM #64 Nomadiq said: Unaumwa nini! Pole Click to expand... Asante! Kichwa kilikua kinaniuma..!
Manjagata JF-Expert Member Joined Mar 7, 2012 Posts 17,176 Reaction score 19,846 Sunday at 9:22 AM #65 Equation x said: Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri. Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri. Hii inatafsiri, IQ yako iko chini. Jaribu, kutathmini IQ yako. Click to expand... Unafikri vitu ni rahisi hivyo?
Equation x said: Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri. Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri. Hii inatafsiri, IQ yako iko chini. Jaribu, kutathmini IQ yako. Click to expand... Unafikri vitu ni rahisi hivyo?
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 39,599 Reaction score 95,273 Sunday at 9:31 AM #66 Equation x said: Yule mchumba wangu ulimpeleka wapi? Click to expand... Aliolewa
Nomadiq JF-Expert Member Joined Jan 5, 2025 Posts 8,551 Reaction score 22,840 Sunday at 9:47 AM #67 Lamomy said: Asante! Kichwa kilikua kinaniuma..! Click to expand... Pole my kichogolist🥲
Dr am 4 real PhD JF-Expert Member Joined Jun 30, 2016 Posts 20,116 Reaction score 41,722 Sunday at 9:50 AM #68 allow cp said: Tunao kaa kwa mama wa kambo 40+ years nasi una neno gani ? ajira tulikosa na kujiajiri ikawa imposible. Hapa ni mwendo wa kwenda kusaga mashineni kula kulala na kucheza bao na footblal Click to expand... R.I.P in advance 😁
allow cp said: Tunao kaa kwa mama wa kambo 40+ years nasi una neno gani ? ajira tulikosa na kujiajiri ikawa imposible. Hapa ni mwendo wa kwenda kusaga mashineni kula kulala na kucheza bao na footblal Click to expand... R.I.P in advance 😁
Equation x JF-Expert Member Joined Sep 3, 2017 Posts 40,224 Reaction score 62,272 Sunday at 12:57 PM Thread starter #69 Manjagata said: Unafikri vitu ni rahisi hivyo? Click to expand... Ugumu unatokea wapi?