Jaribu, kutathmini IQ yako

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,094
Reaction score
62,013
Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri.

Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri.

Hii inatafsiri, IQ yako iko chini.

Jaribu, kutathmini IQ yako.​
 
Huu ujumbe umemlenga Nani?wale wanaotushauri tujiajiri?ama waajiriwa wenyewe ama wanasiasa waliotolewa kwenye reli?
 
Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri.

Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri.

Hii inatafsiri, IQ yako iko chini.

Jaribu, kutathmini IQ yako.​
Perception zako tu mkuu huwezi unapimaje IQ ya myu kwa 10 years chanzo cha utafiti huu ukipataje hebu fafanua hapo
 
Mtu yeyote mwenye IQ kubwa ndani ya miaka 10 aliyoajiriwa, inamtosha kabisa kuwa amejiajiri.

Itakuwa ni ajabu, una zaidi ya miaka 10 kazini, na umeshindwa kujiajiri.

Hii inatafsiri, IQ yako iko chini.

Jaribu, kutathmini IQ yako.​
Vipi kuhusu sisi tulio jiajiri tukategemea kutoboa na tukaangukia pua.. Na tumekula loss... But saiv tunajipanga upya.. bila kuchoka.. naitwa Mr IQ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…