CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,915
Hahahaha umeona sasa.Kuna kitu kijana mwenzangu [HASHTAG]#Daby[/HASHTAG] alinambia unatakiwa kuwa na Locus of Control
As long as unakipenda basi utafanikiwa. Mafanikio huchukua hata 20 years mkuu. Uvumilivi ndo siraha pekee ya mafanikioChasha ni kweli kabisa usemayo.Ila kuna wakati unajikuta kila ukifanya unachoamini au kukipenda una fail,.
Mfano hivi sasa kwa wafugaji wa Nguruwe kuna ugonjwa wa Homa ya Nguruwe, ambapo kuna mtu alikuwa na nguruwe 300,wote wamekufa,na hali hii hutokea karibu kila mwaka,ukizingatia gharama za utunzaji wa mnyama kama Nguruwe ni kubwa sana,ikitokea kwa Mfugaji huyu Mara mbili au zaidi,ni lazima akate tamaa,na kurukia kitu kingine.
Mwingine ni Mfugaji wa Kuku,amefuga Kuku wake labda 2000,huyu anakumbana na changamoto ya Chanjo fake zinazopelekea Kuku wake kufa kwa mkupuo,akijaribu Mara nyingine anakumbana na changamoto ya Soko,Kuku wamekuwa wengi mitaani,Chakula kimependa bei,anaamua kuwauza kwa hasara ambapo mtaji unakata,anaamua kujaribu fursa nyingine.
Kwa hivyo mambo haya yanachagisha wajasiriamali wengi kutokuwa na misimamo,hasa ukizingatia mitaji inakuwa ni ya kuungaunga.
Vizuri vinaigwa mkuuHabari wana jukwaa.
Leo nizungumzie jambo moja linalo wagharimu watu na nimeona hata humu humu.
Wengi wetu tumekuwa tunapata mihemuko baada ya kuona either Picha za mtu analima, picha za Mtu anafuga kuku au Nguruwe au Ng'ombe.
TUMEKUWA TUKO RADHI KUACHA DREMA ZETU NA KUTAKA KUIGA ZA WENZETU KISA TU,
- Nimeona picha zake
- Nimeona kwenye TV
- Nimesimuliwa
-Nimeshauriwa
-Nimesikia
- Tumehamasishwa
Kama vitu tajwa hapo ndo vinakufanya ufanye jambo basi jiandae kushindwa tu
Kama ndo hivyo ni makosa makubwa sana na yanakuja kukugharimu sana.
Fanya kile unacho penda from your hert, fanya kile unaota kufanya kama ni kuguga panya wewe fuga panya wako make ndo Dream yako.
Kama dream yako ni kulima mchicha just lima mchicha hapo ndo utakapo tajirikia.
Kama dream yako ni kufuga Nguruwe just fuga Nguruwe.
Ni kosa sana kuyumbishwa kwenye Dream na ukikosa msimamo maana yake utakuwa unacheza upatu sasa.
Watu wengi wamelia sana. Ilikuja Kware wakaacha kufuha kuku na kuingilia kware ikaja sijui sungura hivyo hivyo.
Acha kupata hamasa kwa kuangalia picha, picha zinachukukiwa google mtu anazuha ni yeye, pichea zinakuzwa.
Pata hamasa kupitia kazi yako mwenyewe, achana na hamasa za picha.
NA MWISHO JARIBU KUHESHIMU DREAM YAKO
Wazo kama langu!!Chasha ni kweli kabisa usemayo.Ila kuna wakati unajikuta kila ukifanya unachoamini au kukipenda una fail,.
Mfano hivi sasa kwa wafugaji wa Nguruwe kuna ugonjwa wa Homa ya Nguruwe, ambapo kuna mtu alikuwa na nguruwe 300,wote wamekufa,na hali hii hutokea karibu kila mwaka,ukizingatia gharama za utunzaji wa mnyama kama Nguruwe ni kubwa sana,ikitokea kwa Mfugaji huyu Mara mbili au zaidi,ni lazima akate tamaa,na kurukia kitu kingine.
Mwingine ni Mfugaji wa Kuku,amefuga Kuku wake labda 2000,huyu anakumbana na changamoto ya Chanjo fake zinazopelekea Kuku wake kufa kwa mkupuo,akijaribu Mara nyingine anakumbana na changamoto ya Soko,Kuku wamekuwa wengi mitaani,Chakula kimependa bei,anaamua kuwauza kwa hasara ambapo mtaji unakata,anaamua kujaribu fursa nyingine.
Kwa hivyo mambo haya yanachagisha wajasiriamali wengi kutokuwa na misimamo,hasa ukizingatia mitaji inakuwa ni ya kuungaunga.
Ila wee mtu umetisha!!!Sawa nitafanya nipendacho
Hapo penye uvumilivu ndio napapenda..... Mm ni mvumilivu cjapata mfano wangu.... Nitatoboa "tu maana Hakuna namna" in Pinda's voiceAs long as unakipenda basi utafanikiwa. Mafanikio huchukua hata 20 years mkuu. Uvumilivi ndo siraha pekee ya mafanikio
Ndio huwa nalalaIla wee mtu umetisha!!!
Hivi huwa unalala!!
Vinaigwa then?Vizuri vinaigwa mkuu
Chenye soko ni kipi na kisolicho kuwa na soko ni kipi?Chasha
Habari ya siku!!
Lakini kwanini nisifanye kitu chenye soko hata kama sikipendi?? Mi nafikiri hii ndio biashara hasa inayotakiwa. Sasa nikifanya kitu kwa passion na sio business nitapata faida kweli???
Nifanye kitu as business na sio passion bana..au sio??