Jaribu kuheshimu ndoto yako na acha mihemuko

Wazo kama langu!!

Chasha anasahau watu wanafanya biashara na sio passion
My be unaongelea uchuuzi na sio Ujasiriamali.

Mkuu ili uwe mjasiriamali lazima uione kesho.

Wakina Henry Ford waliiona kesho, Thomas Edson aliona kesho.

Do whay you love and fall in love kwa unacho penda.

Mkuu watu hatufanikiwa kwa sababu kuu kwamba ni bendera fuata upepo na sio kwamba unafanya kwa mapenzi yako.

- Mwaka jana ulikuwa unalima Nyanya baada ya kusikia zinalipa.
- Mwaka jana mwishoni ukaacha kulima nyanya ukaanza kulima Tango baada ya kuona mtu kweny TV ana miliki Gari kwa kulima Tango.

- Mwaka huo huo ukaona Tango sio kabisa hazilipi ukaingia kwenye Tikitki na hii ni baada ya kuambiwa kwamba inalipa sana na kuna Mdada kajenga kwa kulima tikitiki.

- Baada ya kulima tikitiki na kuvuna msimu mmoja ukaona huwezi nunua Gari kwa kilimo cha Tikitiki.

- Mwaka huu mwanzoni ukaona kwenye TV kwamba ufugaji wa sungura ni pesa na unaweza kuwa biliobare. faster ukajenga mabanda na kuanza kufuga Sungura.

Umefuga na wamekuwa wengi ila huoni kabisa uwezekano wa kuwa bilioanare umeacha.

- Ukaanza kufuga kuku wa Broiler ni baada ya kuhamasishwa kwenye semina.
Umefuga mara mbili unaona ni hasara umeacha kwa sasa unalima Vitunguu.

NDO TRIEND ZETU HIZO KWA STAILI HII
 
Huenda umelala na bange maana Akili zako hazijakutuma vyema
Huku ni watu wako Siriasi na Mijadala siriasi ya maendeleo. Kama unawaza mapenzi nenda kuna jukwaa la hayo mambo. how come useme unawaza mapenzi?

Ni lazima uko ment? Kama unaona maada inakuzidi uwezo kaa kimya
 
Huku ni watu wako Siriasi na Mijadala siriasi ya maendeleo. Kama unawaza mapenzi nenda kuna jukwaa la hayo mambo. how come useme unawaza mapenzi?

Ni lazima uko ment? Kama unaona maada inakuzidi uwezo kaa kimya
Nyie mngepewa mtupe riziki naona ungeipa familia yako tu maana ungeona haina haja usingejibu
 
Back
Top Bottom