CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,789
- 8,914
Habari wana jukwaa.
Leo nizungumzie jambo moja linalo wagharimu watu na nimeona hata humu humu.
Wengi wetu tumekuwa tunapata mihemuko baada ya kuona either Picha za mtu analima, picha za Mtu anafuga kuku au Nguruwe au Ng'ombe.
TUMEKUWA TUKO RADHI KUACHA DREMA ZETU NA KUTAKA KUIGA ZA WENZETU KISA TU,
- Nimeona picha zake
- Nimeona kwenye TV
- Nimesimuliwa
-Nimeshauriwa
-Nimesikia
- Tumehamasishwa
Kama vitu tajwa hapo ndo vinakufanya ufanye jambo basi jiandae kushindwa tu
Kama ndo hivyo ni makosa makubwa sana na yanakuja kukugharimu sana.
Fanya kile unacho penda from your hert, fanya kile unaota kufanya kama ni kuguga panya wewe fuga panya wako make ndo Dream yako.
Kama dream yako ni kulima mchicha just lima mchicha hapo ndo utakapo tajirikia.
Kama dream yako ni kufuga Nguruwe just fuga Nguruwe.
Ni kosa sana kuyumbishwa kwenye Dream na ukikosa msimamo maana yake utakuwa unacheza upatu sasa.
Watu wengi wamelia sana. Ilikuja Kware wakaacha kufuha kuku na kuingilia kware ikaja sijui sungura hivyo hivyo.
Acha kupata hamasa kwa kuangalia picha, picha zinachukukiwa google mtu anazuha ni yeye, pichea zinakuzwa.
Pata hamasa kupitia kazi yako mwenyewe, achana na hamasa za picha.
NA MWISHO JARIBU KUHESHIMU DREAM YAKO