Jaribu hii

Mtu kulala uchi ni ishara kuwa ni mvivu kitandani maana ile process ya kuvuana anaonaga kazi, pili she/he must be lacking romantic skills, ndo wale akishika tu anataka mchezo hapo hapo hana ile subira ya kuandaana bila ya nyama mbili kugusana. Watu wa aina hii waepuke maana watakufuja.

Hata hao wanaovaa nguo ambazo ni adha kitandani, inanuka mijasho, kashinda nalo mchana halafu anapiga nao kitandani.
 
Aha aha aha, raha mwili kwa mwili ugusane. Ukiwa na samaki lazima uwe na minguo ili usije abukizwa ukurutu ila ukiwa na mchuchu wako ni vyema miwili ikagusana. Hivi umeolewa au bado maana katika ndoa niliambiwa hakuna michezo ya mbele.
 
Kigauni cha kimitego bila chupi ndo mpango mzima
uchi kabisa hapana mi siwezi kwa kweli
Unamkwaza mwenzio! Wanaume huwa hawapendi mke kulala na nguo ili mechi ziwezwe kuchezwa automatiki si kulazimishana kuvua nguo
 
mm na best wangu Mentor huwa tunatokelezea hivi kwetu bedroom na anavutiwaje na gauni fupi we acha tu full bata kimtindo
 
Last edited by a moderator:
samahani naomba mniambie mchezo wa mbele ndo mchezo gani huo tena nifahamisheni sijui mwenzenu?
Aha aha aha, raha mwili kwa mwili ugusane. Ukiwa na samaki lazima uwe na minguo ili usije abukizwa ukurutu ila ukiwa na mchuchu wako ni vyema miwili ikagusana. Hivi umeolewa au bado maana katika ndoa niliambiwa hakuna michezo ya mbele.
 
Mbona umeweka vivazi vya wazungu tu???????
 
uchi wako labda watu wanakesha hapo wakinusa nakulambampaka wengine wanafia hapo we unasema unatisha!hahaha nafikiri mnaolewa au kuoa watu ambao hamko free nao aisee
mhhhhh we jiangalie kwenye kiooo ujionee
 
Ahha FP afadhari umeleta uzi huu mana kuna wanawake wengine akisha funga mlango wa chumba chake basi yupo uchiuchi utafikiri mwendawazimu..

kitu kihifadhiwe kwenye nguo za mahaba kama ulivyoatachi hapo juuu,,, nahisi baadhi yetu somo litatusaidia,,,, big up!!
 
Sawa rafiki nijilie na kimoja basi ukirudi....lol...si mlikani site unaenda leo
usijali wala nini rafiki.....
mimi mtaalamu sana wa haya mambo....
wewe PM size na rangi tu, nikipita mali site ntakuchagulia kimoja
 
Aha aha aha, raha mwili kwa mwili ugusane. Ukiwa na samaki lazima uwe na minguo ili usije abukizwa ukurutu ila ukiwa na mchuchu wako ni vyema miwili ikagusana. Hivi umeolewa au bado maana katika ndoa niliambiwa hakuna michezo ya mbele.
usitake nianze kuandika vitu ambavyo mada ihamishiwe jukwaa ambalo mimi mwenyewe sina access nalo, lol!
hii nimeweka kwa faida ya wote, hata wale ambao wanajiandaa kuingia huko...
 
Reactions: BAK
ha haaa, umenichekesha sana.....
asante sana nawe kwa kutukumbusha tusiwe wendawazimu, lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…