Jaribu hii

Jaribu hii

am less concerned on this just passing around.
 
ha haaa, nafurahi sana nikiona wakaka wananiunga mkono kwa hili, lol!
haya muwanunulie sasa hao wenzi wenu ili wawe wanatokea kivingine, sawa?
Wanazo siku nyingi ndiyo maana mimi sasa ni baba wa watoto watatu. Na bado sijaridhika burudani kama kawa.
 
kwa wale ambao hawana umeme mafuta ya taa beiyake sawa na petroli {Nyumba za tembe} hivyo vigauni watavionaje?, uchiuchi hotae, ndiyo inafaa. ukisikia hamutu unapitisha miguu kwenye uvungu wa mwenzio

hahahaaa.... Uchiuchi hotae kwani khanga moko hamna huko? si lazima vigauni!
 
Back
Top Bottom