Jaribu hii

Waoh
Binafsi,Napenda kulala na kijinguo chepesi, kifupi na kinachoupa mwili nafasi.
Na ndani ya kijinguo hicho sipendi kuvaa chochote...ila pia kulala utupu si tatizo kwani unakua ndani ya shuka, blanketi au net....ni burudani sana
 
ha haaa, hivyo vijiguo ni mtama tu.......
ila hata ukiwa mwenyewe pia unajisikia vizuri....
ndo umetoka zako kuoga, hujajipaka mafuta wala nini, unajitupia hako kagauni na kujifunika....... usingizi mtamuuuuuuu
 
FP naomba kuuliza kama hii topic na wanaume tuchangie (tuliooa) au ni ya nyie tu manake naona haijakaa kiliberali sana......

CC Kongosho
 
Last edited by a moderator:

Ruksa kuchangia Kaizer......
kwani wewe unapendaje? maana unajua nyie ndo walengwa haswaaaaa..... na tunavyojuaga kuwatii, ukisema hii sitaki tunaacha mara moja.
cc. Dark City
 
Nyie endeleeni kutegana, wenzenu tulishajistafia....

Ila hizo ngu siyo za kumvalia mtu aliyetoka jela....otherwise utakuwa unajitafutia matatizo ya after 10.30pm...lol!!

Babu DC!!
 
Huku uswazi kwetu wakati wa kulala inabidi uvae minguo haswa...maana haipiti usiku hujafukuza kibaka!!
 
Na aseme wapendazo

Kwani na maliberali wanavaliana viguo?

Sio wademokrasia tu?

Za masiku lakini?

FP naomba kuuliza kama hii topic na wanaume tuchangie (tuliooa) au ni ya nyie tu manake naona haijakaa kiliberali sana......

CC Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Nyie endeleeni kutegana, wenzenu tulishajistafia....

Ila hizo ngu siyo za kumvalia mtu aliyetoka jela....otherwise utakuwa unajitafutia matatizo ya after 10.30pm...lol!!

Babu DC!!
hii haimaanishi kwamba una-deserve ile salamu......
hata tuliostaafu tunatakiwa tuendelee kuwatega, otherwise tutasikia mnategwa huko mtaani.
si umeona mzee Mengi ana new born babies na katoto kadogoooooooo, unafikiri alifwata nini huko? si hiyo mitego?
aliyetoka jela ndo mzuri kutegwa kihivyo, ila sasa kuna atiati wagome kupata misosi maana wataona wanachelewa kutegwa, lol!
 
Huku uswazi kwetu wakati wa kulala inabidi uvae minguo haswa...maana haipiti usiku hujafukuza kibaka!!
ha haaa, hakikisha yale ma-wrap yapo mlangoni, unatoka nalo huku unavaa
 
ha haaa, hivyo vijiguo ni mtama tu.......
ila hata ukiwa mwenyewe pia unajisikia vizuri....
ndo umetoka zako kuoga, hujajipaka mafuta wala nini, unajitupia hako kagauni na kujifunika....... usingizi mtamuuuuuuu
Umeona ee
Rahaje.........
 
Nazidi kukushangaa jinsi unavyodai visivyo halali yako..........

Ukiendelea sasa hapa itabidi niweka nakala ya passport ya mtu ili watu wajue kwamba huna chako hapa...

Babu DC!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…