.
.
Yaonekana dhahiri weye ndiye tayari ushawazimu.,kwa akili zako za kibashitebashite.,kwa wanavyoonekana hao kunako picha mnato weye wawaona hawana familia..
Unatamani nawe kubeba bango kama hilo kwangu mimi tamaa hiyo tu ni wendawazimu unahitaji kuombewa pepo hilo likutoke.Yapo mambo ya kuiga na mengine siyo tu tuyakatae bali tuwafundishe na kuwasaidia wanayoyafanya kuyaacha.
Fikiria wewe ni baba au mama wa watoto wanaokutegemea siyo tu kwa chakula bali uwaelekezee waishije wakukute umebeba bango kama hilo kipi utawaambia wafanye na kipi wasifanye?
Achilia mbali uchochezi kwa mfano unaona akili ya huyo baba ni sawa?Halafu hiki kifungu cha uchochezi ktk sheria za tz hakina ukomo wa tafsiri. Maana wakikosa wakushitaki kwa kosa gani basi their last resort ni shitaka la uchochezi