Jaribu Bongo uone

Jaribu Bongo uone

Kiluuj

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2015
Posts
692
Reaction score
278
Never in Tz.jpeg
Never in Tz.jpeg
 
Kwani kiluuj na ww unafanyiwa hivyo na serikali Yako??
 
.

Unatamani nawe kubeba bango kama hilo kwangu mimi tamaa hiyo tu ni wendawazimu unahitaji kuombewa pepo hilo likutoke.Yapo mambo ya kuiga na mengine siyo tu tuyakatae bali tuwafundishe na kuwasaidia wanayoyafanya kuyaacha.

Fikiria wewe ni baba au mama wa watoto wanaokutegemea siyo tu kwa chakula bali uwaelekezee waishije wakukute umebeba bango kama hilo kipi utawaambia wafanye na kipi wasifanye?
 
Halafu hiki kifungu cha uchochezi ktk sheria za tz hakina ukomo wa tafsiri. Maana wakikosa wakushitaki kwa kosa gani basi their last resort ni shitaka la uchochezi
 
Y

Yaonekana dhahiri weye ndiye tayari ushawazimu.,kwa akili zako za kibashitebashite.,kwa wanavyoonekana hao kunako picha mnato weye wawaona hawana familia.
images-1069.jpeg
 
Halafu hiki kifungu cha uchochezi ktk sheria za tz hakina ukomo wa tafsiri. Maana wakikosa wakushitaki kwa kosa gani basi their last resort ni shitaka la uchochezi
Achilia mbali uchochezi kwa mfano unaona akili ya huyo baba ni sawa?
 
Hilo ni pepo, tunspaswa kukemea kwa nguvu tusiwe na watu wa hivyo nchini kwetu
 
Kama unataka tukuokote Ununio au mabwepande...pita nalo mitaa ya ikulu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom