Mpaka wafikie hatua ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae yeye kakaa tu analiona bunge bila kulivunja??Mbona unaongea pumba jeshi litapinga hicho kifungu cha katiba?
Uraisi amepewa na katiba sio jeshi, na ndio maana
huwa wanapambana kuiba kura wapate uhalali wa kulindwa na katiba kuwa ni washindi na sio jeshi.
Kichwa maji umesikia.
Ni yale yale kwa sababu wote wanarudi kwenye uchaguzi.Mpaka wafikie hatua ya kumpigia kura ya kutokuwa na imani nae yeye kakaa tu analiona bunge bila kulivunja??
Wenzako mama D johnthebaptist Crimea jingalao Kinuju Kiturilo Elitwege jitombashisho wamepotelea wapi kwenye hili sakata?Kuna IDs nzito nzito naona zimekuja kuonya jaribio lolote la kumchomoa Ndugai. This is very alarming
Mihimili miwili ya Dola, katika historia ya Siasa duniani, inatunishiana misuli, nchini Tanzania.Spika siyo cheap kama watu wanavyofikiria...Spika ana mtandao wake mkubwa sana ndani ya CCM na serikali.. Spika ana nguvu isiyo ya kitoto. Hata mle ndani Bungeni ana safi yake kubwa sana.
Unaweza kuunda zengwe la kumtoa likafeli, then nini kitajili? Kwa kifupi ni mchezo wa hatari sana.
Spika anao uwezo wa kubadili hali ya hewa ya hii nchi kuanzia Bungeni ambayo itaathiri Baraza la Mawaziri na watendaji wengi tu wa serikali.
Hilo jaribio likifeli, Wabunge wanaopiga kelele wanaoingia ulingoni Uchaguzi Mkuu ujao chini ya Kamati Kuu (CC) watakuwa na wakati mgumu sana.
Ni sawa na kumshika simba sharubu.
Muda utaongea.View attachment 2069578View attachment 2069579View attachment 2069580
Tena ananyofolewa kwa kidole cha kati kama nyama ya mkate tu.anatolewa tu fasta, wala hamna ugumu wowote ndani ya chama
Hiyo njia ya kumvua uanachama ndo angalau ina matumaini kwa mbali. Lakini mkuu bado hakuna wepesi katika kumwondoa Rais wa JMT madarakani nje ya uchaguzi mkuu. JPM kashaowaonyesha kwa vitendo wanaomfuatia kwenye uongozi nguvu halisi za mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni rais. Mama anapita mulemule.Huna imani na Rais huku jeshi lina imani nae unategemea nini? Jaribio hilo ni hatari sana kuliko kumvua uanachama.
Njia rahisi ya kumuondoa Rais ni kumvua uanachama kama ilivyotokea kwa Jumbe
Sio uhaini likifanikiwa, likifeli.. mlioshadadia mnaanza kutafuta nchi ya kwenda..Kumtoa rais kwa kura ya kutokuwa na iman nae sio uhaini.
Sanatena ananyofolewa kwa kidole cha kati kama nyama ya mkate tu.
Real but mbunge gani mwenye roho ya simba atapiga kura ya kutokuwa na imani naye?.Kumtoa rais kwa kura ya kutokuwa na iman nae sio uhaini.
Njaa mbaya.Real but mbunge gani mwenye roho ya simba atapiga kura ya kutokuwa na imani naye?.
Hapo ndipo penye subira ya watakatifu na wenye moyo wa kuipenda nchi yao.
Wenzako mama D johnthebaptist Crimea jingalao Kinuju Kiturilo Elitwege jitombashisho wamepotelea wapi kwenye hili sakata?
Watazoa na kula matapishi yao muda si mrefu ujao. Hawa Mara nyingi ni bendera fuata upepo.Spika siyo cheap kama watu wanavyofikiria...Spika ana mtandao wake mkubwa sana ndani ya CCM na serikali.. Spika ana nguvu isiyo ya kitoto. Hata mle ndani Bungeni ana safi yake kubwa sana.
Unaweza kuunda zengwe la kumtoa likafeli, then nini kitajili? Kwa kifupi ni mchezo wa hatari sana.
Spika anao uwezo wa kubadili hali ya hewa ya hii nchi kuanzia Bungeni ambayo itaathiri Baraza la Mawaziri na watendaji wengi tu wa serikali.
Hilo jaribio likifeli, Wabunge wanaopiga kelele wanaoingia ulingoni Uchaguzi Mkuu ujao chini ya Kamati Kuu (CC) watakuwa na wakati mgumu sana.
Ni sawa na kumshika simba sharubu.
Muda utaongea.View attachment 2069578View attachment 2069579View attachment 2069580
Mlolongo wa kumtoa Rais kwa njia ya kura bungeni ni mrefu na mgumu sana hivyo Rais ni lazima alivunje Bunge kabla ya kuanza mchakato..Kumtoa rais kwa kura ya kutokuwa na iman nae sio uhaini.
Wapumbavu watupu hao, we mtu kakopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa ajili ya madawati halafu mtu kaongea ukweli wanaanza kubenua midomo, mnataka nchi ipigwe mnada?! Haiwezekani, hili lazima lazima litaondoka na mtu!Spika siyo cheap kama watu wanavyofikiria...Spika ana mtandao wake mkubwa sana ndani ya CCM na serikali.. Spika ana nguvu isiyo ya kitoto. Hata mle ndani Bungeni ana safi yake kubwa sana.