Jaribio la kigaidi kumuua Mh. Tundu Lissu, teknolojia kuwaumbua wahusika?

Mag3

Platinum Member
May 31, 2008
13,064
22,757
Hii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!
  • A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position yourself to see through the front of the windshield.
  • Photographing someone through tinted car windows? If there's a strong IR light source on the other side, and IR-converted camera will see through most tints.
  • Low light photographs at ISO 12800 not the best image for printing but you can tell who it is.
Kuna watu hofu imewatanda na humu JF wanahaha kuanzisha theories za ajabu ajabu kujipa matumaini. Ukishalitilia shaka gari lililo nyuma yako, kuwapiga picha waliokaa viti vya mbele ni kama mchezo wa kitoto. Lakini hata kama windshield nayo iko tinted bado ziko njia...Bashite atajulia wapi haya?
 
ninachokipenda wananchi wameshajuwa wauaji ni kina nani mana walijiandaa kupoteza uhai wa Lissu lakini Mungu kawanyoosha hasa wamekonda nyuso usiku mmoja baba na mwanawe wamekuwa weusi kwa kukosa oxygen hawapumui kwa hofu na vile wamelaaniwa na wanachi kwa ujumla na dunia basi hila zao zimeingia matope
 
:D:D
Hii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!
  • A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position yourself to see through the front of the windshield.
  • Photographing someone through tinted car windows? If there's a strong IR light source on the other side, and IR-converted camera will see through most tints.
  • Low light photographs at ISO 12800 not the best image for printing but you can tell who it is.
Kuna watu hofu imewatanda na humu JF wanahaha kuanzisha theories za ajabu ajabu kujipa matumaini. Ukishalitilia shaka gari lililo nyuma yako, kuwapiga picha waliokaa viti vya mbele ni kama mchezo wa kitoto. Lakini hata kama windshield nayo iko tinted bado ziko njia...Bashite atajulia wapi haya?
Si utani, I can't wait kuona nyuso zao hao magaidi. Mara lahaula mtu anayefahamika.
 
Hii ni kwa great minds to...kama wewe ni Bashite, usiendelee kusoma, unaweza kupandwa wazimu!
  • A circular polarizer will help and most vehicles have no tint on the front windshield. Position yourself to see through the front of the windshield.
  • Photographing someone through tinted car windows? If there's a strong IR light source on the other side, and IR-converted camera will see through most tints.
  • Low light photographs at ISO 12800 not the best image for printing but you can tell who it is.
Kuna watu hofu imewatanda na humu JF wanahaha kuanzisha theories za ajabu ajabu kujipa matumaini. Ukishalitilia shaka gari lililo nyuma yako, kuwapiga picha waliokaa viti vya mbele ni kama mchezo wa kitoto. Lakini hata kama windshield nayo iko tinted bado ziko njia...Bashite atajulia wapi haya?
.....
.....Mkuu nasoma Mara sabasaba
 
Eti kuna fala mmoja anasema; kama nisipotia kidole changu katika matundu ya risasi, basi sitaamini kama Lissu alipigwa risasi! Shame on him.
 
Sababu tumezoea Chadema kuishi kwa matukio si ajabu hata hili tutajazana upepo alafu mwisho wake iwe kama yale ya bomu la Arusha ....."tunao mkanda wote,polisi wasipotoa majibu tutaonesha dunia ukweli" .....imebaki stori ....btw tulishasahau hata wahanga wa lile bomu .....labda hili kwavile Lissu mwenyewe ni aggressive ....
 
So unamaanisha inawezekana Lisu aliwapiga picha kupitia kioo cha nyuma.

‍♂️naenda zimbobo.
 
Sababu tumezoea Chadema kuishi kwa matukio si ajabu hata hili tutajazana upepo alafu mwisho wake iwe kama yale ya bomu la Arusha ....."tunao mkanda wote,polisi wasipotoa majibu tutaonesha dunia ukweli" .....imebaki stori ....btw tulishasahau hata wahanga wa lile bomu .....labda hili kwavile Lissu mwenyewe ni aggressive ....
wewe nawe ni mpuuzi tu.nilitegemea utakuwa na la maana at least kwa maisha ya lissu kumbe unaleta ujinga wako.lala mbele na slaa wako.no wonder yuko kimya wakati mtu aliyekuwa anampa data zote ameshambuliwa kwa risasi
 
Back
Top Bottom