japokuwa imechoka bado tunaitumia!!!!!!!!

japokuwa imechoka bado tunaitumia!!!!!!!!

saudari

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
2,655
Reaction score
2,783
pikapu.jpg
Ama kweli Uchagani hawatupi kitu.
 
Nani kakuambia imechoka? Thithi kule kwetu tunaita serikali za mitaa
 
Kuna kama hii pale Iringa mjini ya mzee wa Mji mmoja anaishi mitaa ya Mwangata, Ila ya ni BEDFORD. kijana wa SUMATRA akaipiga mkono Mzee kajieleza kwa kijana kijana akawa haelewi somo. Basi akaipeleka Central ikalala kama wiki hivi. Baada ya hapa kijana akawa macho yanamsumbua kakimbizwa Hospitali na sasa ni kipofu. Lakini huyu kijana alikuwa mgeni pale ofisini na wenzake hawakumtonya kuwa huyu mzee haguswi na gari yake.

Hizi hata Polisi wenyewe hawagusagi kabisa.
 
angalizo...........uchagani hamna minazi

Uko vizuri mkuu kitu
Cha Dsm wasingizie ushemejini..!??, Bongo sha choka mikoa sasa inakuja juu, wamezoea kunyonya vya watu, kila kitu kije Dar, he gesi ya songosongo ije dar, Na ya mtwara.. Wamekonde Kwa taarifa wameshaigomea kitu hii.. Bongo soon itachoka unrepairable
 
Teh aisee hii kali aisee...hapo likikugonga hilo lazima uugue kansa aisee......
 
kuna mzee mmoja alikuwa na gali kama hili but lenyewe ni isuzu za kuebea mchanga aliandika nyuma BABA YAKO ANALO!

Huyu wakwetu ameandika "SOMETHING IS BETTER THAN NOTHING" kwenye kioo cha mbele cha gari yake.
 
snochet; Nafuu umenisadia kumwambia! Anadanganya jamvini hivi hivi! Hatukubali, Labda angesema Uchagani sehemu gani,na ni labda hapo sehemu ya Mwanga ama Same!


angalizo...........uchagani hamna minazi
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom