Ila wako makini kuchungulia password, hawataki kukaa mbali na mgonjwa wamuache atoe pesa zake. hahahahahaWakuache ufe na pesa zako
Karibu Kilimanjaro - Rombo hahahahahAiseeeeee.....[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Hana imani na watu wake, hahahahahah.
Sure..Tabia mbaya lknHana imani na watu wake, hahahahahah.
Wako makini wanajua mgonjwa anaweza vuta ndefu wakajimilikisha wenyeweIla wako makini kuchungulia password, hawataki kukaa mbali na mgonjwa wamuache atoe pesa zake. hahahahaha
Labda anawajua ni wafujaji wa pesa hahahaahhSure..Tabia mbaya lkn
hahahah, hasa huyo mwenye tisheti ya kijani, hahahaahhWako makini wanajua mgonjwa anaweza vuta ndefu wakajimilikisha wenyewe
InawezekanaLabda anawajua ni wafujaji wa pesa hahahaahh
Yani hapo anatamani mgonjwa akishatoa tu pesa akate moto.hahahah, hasa huyo mwenye tisheti ya kijani, hahahaahh
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀Yani hapo anatamani mgonjwa akishatoa tu pesa akate moto.
Wapare mkishaingia mjini mnatupa tabu sana... sasa pozi gani hili la blazaako Mshana Jr ?
View attachment 947638