Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 53,332
- 72,655
mtani umeanza uchokozi
hiyo ni nomaaaaaaaaaaaaaKaka yako babu Asprin ndie mchokozi. halafu ana mambo yake mwenyewe. Hebu ona mshono aliomchagulia mkewe, eti ndio nguo ya sikukuu ya X-mas 2018 hahahahah. Asprin bwana kujifanya ni designer hahahah
View attachment 948826
Wakuache ufe na pesa zako
Daah tabia mbaya sana hii, yaani hamuamini mkewe kiasi hiki
Duuh aiseehahahahah, ile mie napenda sana wazee wa kichaga wanavyojua mapenzi hata wakizeeka lazima wapeane malove
View attachment 947644View attachment 947644