Japo niko mahututi password sitoi ng'oooo

Japo niko mahututi password sitoi ng'oooo

hahahahah, ile mie napenda sana wazee wa kichaga wanavyojua mapenzi hata wakizeeka lazima wapeane malove
View attachment 947644View attachment 947644

Mpare hachezi mbali na smatifoni...

1543302559173.png
 
Tabia mbaya ipi? Sitaki na password yangu mkuu [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
😀😀😀😀😀😀😀😀 Waichungulia lakini, hebu angalia hiyo picha, yaani mgonjwa hana alichokificha. Mwangalie vema huyo mwenye t-shirt ya kijani. hahahahahaha.
 
ngathu eho kituhu.jpg
Babu Asprin washauri wachaga unaowajua waache kuiga iga hebu ona hawa maharusi wa pale Mkuu Mashati Tarakea Rombo. hahahahaha
 
😀😀😀😀😀😀😀😀 Waichungulia lakini, hebu angalia hiyo picha, yaani mgonjwa hana alichokificha. Mwangalie vema huyo mwenye t-shirt ya kijani. hahahahahaha.
Huyu tayari ana password sasa kilichobaki ni mgonjwa kulizwa [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Sema tuu kwa kuwa kumeandikwa rombo lakini hao jamaa in aonekana kama sio nchini hapa
 
Back
Top Bottom