Japo ni Dakitari, na Mwanasiasa Mzuri, Dr. Kigwangalla Ni Mweupe Masuala ya Katiba

kigwa anatafuta umaarufu kupitia Mh Lissu aliyebobea kwenye sheria na Muungano kuujua vizuri, na ndio maana uwa ana hakika na anayozungumza. ni vyema kigwa akawa anajishughulisha zaidi na wagonjwa. yani ccm na serikali mbili watashindwa, maana hawana hoja zaidi ni yaleyale ya porojo, nasubiria jioni kwenye mjadala, maana taarifa na miongozo itakuwa ya kutosha, yule naye kundi maalumu badala ya kutetea kundi lake, yeye anatetea ccm.
 
Bora umelitambu hilo mwenyewe,hapa ndio ujue wanachopigania ccm kwenye katiba ni maslai yao na sio ya wananchi..
 
Wanabodi,

Mara kwa mara Dr. Hamisi Kigwangala amekuwa akilamiwa mara kwa mara na kushutumiwa, leo ndia nimeanza kumkubali, kiukweli huyu jamaa ni kichwa maji kweli kweli!, yaani kichwani ni mtupu mweupe kabisa katika masuala ya katiba, labda kwenye udakitari!. Kama uelewa wake wa jambo dogo simple kama hili ameshindwa kulielewa, Dr. huyu aliwezaje, kupata udakitari?!.

Issue yenyewe ya ukichwa maji wa Dr. Kigwa, Lissu amezungumzia siku ya kusainiwa Mkataba wa Muungano kule Zanzibar, tarehe 22/04/1964 na ratification iliyofanywa na bunge la Tanganyika tarehe 25/04/1969.

Mkataba wa Muungano ni kitu kimoja na sheria ya muungano ni kitu kingine!. Lisu amewataja waliokuwepo siku ya kusaini mkataba!, Kingwa anawataja waliokuwepo siku ya ratification na kudai Lissu ni mpotoshaji!.

Pasco

Nakubaliana na wewe na nimeridhika kwa hiyo hali yake aliyo nayo ni utata.CV kama ile ya Idd Amini zimefanya watu wengi waaminike sana lakini akiongea unakata tamaa.
 
Bado ana kiwewe cha Bashe huyo... anatafuta cheap popularity kwa kutumia mgongo wa Lissu.. Anakosea sana angengojea kina maji marefu ndio aponee hapo sio kwa Lissu!!
 
Wanabodi,

Mara kwa mara Dr. Hamisi Kigwangala amekuwa akilamiwa mara kwa mara na kushutumiwa, leo ndia nimeanza kumkubali, kiukweli huyu jamaa ni kichwa maji kweli kweli!, yaani kichwani ni mtupu mweupe kabisa katika masuala ya katiba, labda kwenye udakitari!. Kama uelewa wake wa jambo dogo simple kama hili ameshindwa kulielewa, Dr. huyu aliwezaje, kupata udakitari?!.

Issue yenyewe ya ukichwa maji wa Dr. Kigwa, Lissu amezungumzia siku ya kusainiwa Mkataba wa Muungano kule Zanzibar, tarehe 22/04/1964 na ratification iliyofanywa na bunge la Tanganyika tarehe 25/04/1969.

Mkataba wa Muungano ni kitu kimoja na sheria ya muungano ni kitu kingine!. Lisu amewataja waliokuwepo siku ya kusaini mkataba!, Kingwa anawataja waliokuwepo siku ya ratification na kudai Lissu ni mpotoshaji!.

Pasco

@Pasco

With all due respect kweli leo ndiyo umejua jambo kama hili kuhusu Kigwangala!!! Serious...!!!
 
Kwa kweli hata mimi naungana nawe ndugu yangu. Nimejisikia aibu sana alipokuwa anadhihirisha upumbavu wake lakini pia na kushangaa anawezaje mtu kama huyu kuwa mbumbumbu kiasi hicho. Hata kauli zake dhidi ya Mtikila ni za kijinga. Yeye anafikiri baraka ni amani tu, hafikirii mahali nchi ilipo sasa ikilinganishwa na miaka 50 ya kujitawala, wala wale tulioanza nao wakati wa uhuru waliokuwa maskini na sasa ni matajiri wakubwa!
Wanabodi,

Mara kwa mara Dr. Hamisi Kigwangala amekuwa akilamiwa mara kwa mara na kushutumiwa, leo ndia nimeanza kumkubali, kiukweli huyu jamaa ni kichwa maji kweli kweli!, yaani kichwani ni mtupu mweupe kabisa katika masuala ya katiba, labda kwenye udakitari!. Kama uelewa wake wa jambo dogo simple kama hili ameshindwa kulielewa, Dr. huyu aliwezaje, kupata udakitari?!.

Issue yenyewe ya ukichwa maji wa Dr. Kigwa, Lissu amezungumzia siku ya kusainiwa Mkataba wa Muungano kule Zanzibar, tarehe 22/04/1964 na ratification iliyofanywa na bunge la Tanganyika tarehe 25/04/1969.

Mkataba wa Muungano ni kitu kimoja na sheria ya muungano ni kitu kingine!. Lisu amewataja waliokuwepo siku ya kusaini mkataba!, Kingwa anawataja waliokuwepo siku ya ratification na kudai Lissu ni mpotoshaji!.

Pasco
 
Wanabodi,

Mara kwa mara Dr. Hamisi Kigwangala amekuwa akilamiwa mara kwa mara na kushutumiwa, leo ndia nimeanza kumkubali, kiukweli huyu jamaa ni kichwa maji kweli kweli!, yaani kichwani ni mtupu mweupe kabisa katika masuala ya katiba, labda kwenye udakitari!. Kama uelewa wake wa jambo dogo simple kama hili ameshindwa kulielewa, Dr. huyu aliwezaje, kupata udakitari?!.

Issue yenyewe ya ukichwa maji wa Dr. Kigwa, Lissu amezungumzia siku ya kusainiwa Mkataba wa Muungano kule Zanzibar, tarehe 22/04/1964 na ratification iliyofanywa na bunge la Tanganyika tarehe 25/04/1969.

Mkataba wa Muungano ni kitu kimoja na sheria ya muungano ni kitu kingine!. Lisu amewataja waliokuwepo siku ya kusaini mkataba!, Kingwa anawataja waliokuwepo siku ya ratification na kudai Lissu ni mpotoshaji!.

Pasco

Tatizo kubwa si ukichwa maji taizo ni kuuogopa ukweli,na ahadi za kupewa uwaziri wa afya endapo mambo yake akiyaweka vizuri.Usimlaumu,anatafuta ULAJI wa kesho.
 
kigwa anatafuta umaarufu kupitia Mh Lissu aliyebobea kwenye sheria na Muungano kuujua vizuri, na ndio maana uwa ana hakika na anayozungumza. ni vyema kigwa akawa anajishughulisha zaidi na wagonjwa. yani ccm na serikali mbili watashindwa, maana hawana hoja zaidi ni yaleyale ya porojo, nasubiria jioni kwenye mjadala, maana taarifa na miongozo itakuwa ya kutosha, yule naye kundi maalumu badala ya kutetea kundi lake, yeye anatetea ccm.

Inawezekana anafikiri kwa kutetea anaweza akajinyakulia Ubunge kwa viti maalum vya nafasi za walemavu.Na pia ni kati ya wale wanaoogopa ukweli au kuteuliwa kwake kulikuwa na mkono wa CCM hivyo usimlaumu.
 
Mimi ukisema Kigwangalala huw anakumbuka VITUMBUA!
Vitumbua (2).jpg
 
Wanabodi,

Mara kwa mara Dr. Hamisi Kigwangala amekuwa akilamiwa mara kwa mara na kushutumiwa, leo ndia nimeanza kumkubali, kiukweli huyu jamaa ni kichwa maji kweli kweli!, yaani kichwani ni mtupu mweupe kabisa katika masuala ya katiba, labda kwenye udakitari!. Kama uelewa wake wa jambo dogo simple kama hili ameshindwa kulielewa, Dr. huyu aliwezaje, kupata udakitari?!.

Issue yenyewe ya ukichwa maji wa Dr. Kigwa, Lissu amezungumzia siku ya kusainiwa Mkataba wa Muungano kule Zanzibar, tarehe 22/04/1964 na ratification iliyofanywa na bunge la Tanganyika tarehe 25/04/1969.

Mkataba wa Muungano ni kitu kimoja na sheria ya muungano ni kitu kingine!. Lisu amewataja waliokuwepo siku ya kusaini mkataba!, Kingwa anawataja waliokuwepo siku ya ratification na kudai Lissu ni mpotoshaji!.

Pasco

Mheshimiwa umesahau kuwa Kigwangala ni daktari wa tiba (MD), ambayo ni digrii ya kwanza sawa na nyingine kama BA, BSc, LLB nk, kwa hiyo usitake kumpima kwa kiwango cha PhD. Sifa za kujiunga digrii ya kwanza zinafanana kwa fani zote, sifa za kumaliza zinatofautiana kidogo kwa mujibu wa mahitaji maalumu ya kila fani, lakini kimsingi ikishaitwa digrii ya kwanza ni digrii ya kwanza tu hata kama aliye nayo anaitwa daktari. Kumbuka kuna wengine hawana hata hiyo digrii ya kwanza (mfano wale wenye zile advanced diploma za medicine) bado kiutaratibu wanaitwa madaktari. Kwa hiyo neno 'daktari' lisikubabaishe mhe [MENTION]Pasco [/MENTION]
 
Lakini huwa anashinda ndani na wachimabji wadogo wadogo Nzega...ndio siasa zinavyoendeshwa bwana.
 
Mkuu ni kweli huyu jamaa ulikuwa bado unamchukulia serious?Ile formula ya Garbage in Garbage out inaaplai sana kwake?Aliingia bungeni kwa mazabezabe na matokeo yake ni hoja hafifu siku baada ya siku.Kama kuna siku niliyom-delete kabisa ni ile waliyetoleana Bastola na yule Msomali na utetezi wake baada ya hilo.Hapa majuzi nasikia ka-mobilize wananchi waandamane kwenda kuvamia mgodi...Wabunge wa CCM hawa.

Wala musihangaike naye kwani mwaka 2015 wala harudi, ni zamu ya Selelei au Bashe kupitia CCM au Chama Kingine Kikubwa chenye mashiko!!!!
 
Wanabodi,

Mara kwa mara Dr. Hamisi Kigwangala amekuwa akilamiwa mara kwa mara na kushutumiwa, leo ndia nimeanza kumkubali, kiukweli huyu jamaa ni kichwa maji kweli kweli!, yaani kichwani ni mtupu mweupe kabisa katika masuala ya katiba, labda kwenye udakitari!. Kama uelewa wake wa jambo dogo simple kama hili ameshindwa kulielewa, Dr. huyu aliwezaje, kupata udakitari?!.

Issue yenyewe ya ukichwa maji wa Dr. Kigwa, Lissu amezungumzia siku ya kusainiwa Mkataba wa Muungano kule Zanzibar, tarehe 22/04/1964 na ratification iliyofanywa na bunge la Tanganyika tarehe 25/04/1969.

Mkataba wa Muungano ni kitu kimoja na sheria ya muungano ni kitu kingine!. Lisu amewataja waliokuwepo siku ya kusaini mkataba!, Kingwa anawataja waliokuwepo siku ya ratification na kudai Lissu ni mpotoshaji!.

Pasco
Pasco
===>Kuna vilaza walimuambia aseme hicho kitu,lakini si dhani kama ana uwezo wa kiasi hicho wa kisheria ambao ungemuwezesha au unamfanya awe na nguvu ya kubishana na Lisu.
 
Last edited by a moderator:
Mheshimiwa umesahau kuwa Kigwangala ni daktari wa tiba (MD), ambayo ni digrii ya kwanza sawa na nyingine kama BA, BSc, LLB nk, kwa hiyo usitake kumpima kwa kiwango cha PhD. Sifa za kujiunga digrii ya kwanza zinafanana kwa fani zote, sifa za kumaliza zinatofautiana kidogo kwa mujibu wa mahitaji maalumu ya kila fani, lakini kimsingi ikishaitwa digrii ya kwanza ni digrii ya kwanza tu hata kama aliye nayo anaitwa daktari. Kumbuka kuna wengine hawana hata hiyo digrii ya kwanza (mfano wale wenye zile advanced diploma za medicine) bado kiutaratibu wanaitwa madaktari. Kwa hiyo neno 'daktari' lisikubabaishe mhe [MENTION]Pasco [/MENTION]

Wewe lazima utakuwa mgeni humu JF. Hivi unadhani mleta mada hajui kuwa u-Dk wa Kigwangala ni wa "Doctor of Medicine" na sio wa Ph.D!?

Kitu ambacho ni ishu hapa ni kwamba mleta mada anapata shaka na uwezo wa Kigwangala. Kwani kwa uwezo wake mdogo hata hiyo shahada ya kwanza ya Medicine hakutakiwa kuipata. Nadhani umeelewa sasa.
 
Back
Top Bottom