...Japo mstari mmoja tu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

...Japo mstari mmoja tu..

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kipaji Halisi, May 30, 2012.

 1. Kipaji Halisi

  Kipaji Halisi JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 2,263
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ..
  ...wanakuja na tafadhari wakishapewa wanapotea...

  ...Endelea na wako..wowote ule...
   
 2. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  ..kama unafamilia bora usiniige mimi... hukawii kuuza nyumba usipokua makini..
   
 3. Kipaji Halisi

  Kipaji Halisi JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 2,263
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ...ganja nanyonga mwenyewe simuamini pusha...acje kuniwekea famba akaniambia cha arusha..
  ..twende. junior.cux
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 4. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  d*m* wa usiku mmoja mi cmpigi lita.. Cjui kany*ny* wangap dakik zilizopita...

  huwa clazimish kama d*m* hatak.. Akikataa basi muache akoxe bahat
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 5. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  ...mwenye maneno mengi, huwa namuangalia, wala ubaya sitendi, pote nampotezea! Wajinga wajinga nawapotezeaa, wala hawanipigishi keleele!
   
 6. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wera weraaaaaaaaasobhuza
   
 7. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [h=3]USISHANGAE MANENO YA WAJA HATA KWENYE KANGA YAMO IPIGIE CHAFYA IYO[/h]
  Binadamu wagumu kama ngozi ya futi kwa maneno ila jua maneno ni kama mkanda utazunguka nao mchana usiku utauvua kugeuzana mishumaa unawaka huku unateketea waja mlowakusudia wenzenu ubaya utawarudi kama nyoyo zingekuwa na mifuniko mngefunuliwa mngewaona sivyo jinsi muwafikiriavyo ila kwa kuwa mungu si mjomba wa mtu watachora chini wafute wenyewe.
  kitu cha taarabu iko
   
 8. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ♪ ♫ ♩ ♬....
  mimi ni asernal tu, hata ifungwe siwezi kuwa man-u!!!
  ♪ ♫ ♩ ♬
   
 9. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ♪ ♫ ♩ ♬
  ....nchi imeuzwa vigogo wanatuita ATM....
  ♪ ♫ ♬
   
 10. Kipaji Halisi

  Kipaji Halisi JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 2,263
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  ...wajinga wajinga na wapotezeaaaa..endelea. CUTE
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. MAMMAMIA

  MAMMAMIA JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 3,822
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Utawasikio oooh! "wanaiba, wanafuja, nchi wanaimaliza.
  Wanatulaumu na kutuponda, tunakula matunda, tunadunda.
  Ni wavivu tu wa kufikiri, na wa kifikiri, kwa masaburi,
  Hawataki kujiajiri, nchi tajiri.
  Kudadaadek! Kudadaadek! Kudadaadek!

  Wanawivu wa kike! Washenzi hawa
  Hawajui, "ukitaka kula, lazima kuliwa?
  Wao hata wale majani, ndege tutainunua
  Asiyetaka kulipia feri, atajijua!
  Apige mbizi. Akidandia, tutampiga kama mwizi!
  Kudadaadek! Kudadaadek! Kudadaadek!

  Watasema, watalala, watakonda,
  Ni upepo tu, utapita!
  Sisi tunadunda, tunakula matunda.
  Kudadaadek! Kudadaadek! Kudadaadek!
  Ooo yaaa! Kudadaadek!
   
 12. mtu chake

  mtu chake JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2012
  Joined: Aug 20, 2010
  Messages: 4,007
  Likes Received: 1,138
  Trophy Points: 280
  ...wao wakimwaga ugali sio tuna mbogo roho ngumu bila woga aman kwa kaka..koda..
   
 13. CUTE

  CUTE JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2012
  Joined: Mar 5, 2012
  Messages: 1,237
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  wambeaaaaa washambaaaaaaaa wote wakaogeeeeeeeeeeee
  horiyaaaaaaaaaaa heheyaaaaaaaaaa
   
 14. Kipaji Halisi

  Kipaji Halisi JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 2,263
  Likes Received: 204
  Trophy Points: 160
  weyaaaaa..wapi CUTE.....wameshindwa mchana kwenye Taa ya mungu wataweza usiku kwenye kwenye Taa ya mzunguuu...twende kazii
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. Mapi

  Mapi JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2012
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 6,871
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  nimedhalilishwa sana... Endeleza
   
 16. mathematics

  mathematics JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 3,287
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Nenda karekodi, litakuwa bonge la songi! au kama vipi muuzie mistari ROMA...

   
 17. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #17
  Jun 1, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 933
  Trophy Points: 280
  Bora likae rohoni, nifanye hamsini zangu...
  Nisijikondeshe bureee.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 18. Wazo Langu

  Wazo Langu JF-Expert Member

  #18
  Jun 1, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 1,344
  Likes Received: 519
  Trophy Points: 280
  Cha kunishughulisha nawe mi sikioni
  cha kunishughulisha nawe mi sikiju.......
  Jiangalia juu mpaka chini
  unacho kitu gani cha kunishuhughulisha mimi kukusema vipembeni
   
 19. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #19
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,129
  Likes Received: 4,994
  Trophy Points: 280
  Nakuna panapowamsha,na sitaki mshawasha,
  Madame nawakilisha,kwangu ni kama mapusha,
  Sihitaji cha Arusha,nahisi kitaniwasha,
  Sigara,bhangi nawasha,msela nakinukishaaaa.
  Yo yo yooo!!!

  JeiF kimewaka,hakuna wa kukizima,
  Wako akina makaka,madada hata wamama,
  Vina vyangu vinawaka,nataka wa kuja zima,
  Kama changu wa Kimboka,naja mazima mazima.
  Yo yo yooo!!!
   
 20. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #20
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,060
  Likes Received: 6,509
  Trophy Points: 280
  "Niliowaacha ni wale walevi na wahuni"
   
Loading...