Ta Muganyizi
R I P
- Oct 19, 2010
- 5,355
- 2,739
Mambo mengine sio mbaya kukubali. Hamna jinsi
Mkuu ungewapongeza tu CCM na kuwadharau wananchi lakini katika hili la kuiingiza UKAWA sidhani kama ni sahihi maana inaonekana kama kampeni kwa CCM waendelee kutuibia kwa wewe kuendelea kuwapumbaza wananchi kwa gear ya wewe kuwa ni UKAWA.
Kiongozi ungesoma vizuri ungenielewa nimetumia neno hili "Ujinga unabaki kwetu sisi wananchi"
Muda mwingine tusijidanganye
Mkuu Wangu nimekusoma vizuri sana nilichotofautiana na wewe ni kutubakiza wananchi na matope katika macho yetu.Adui yako hautakiwi kumkatia tamaa ni kupambana nae mpaka tone la mwisho sasa unapokubali kirahisi wewe kama wewe ni nani wa kumtoa mwananchi tongotongo katika macho yake na na kkt akili zake ?.
Wape wananchi matumaini ya kushinda walau wakeshe wakilinda kura(haki zao)pengine hiyo itabadili hali ya mambo .Kumbuka haki haiji kirahisi rahisi ni lazima uvuje jasho ,tujitahidi kujifunza kushinda sio kukata tamaa kwa maana ya kushindwa.
Yaani unaandika na kujijibu mwenyewe. Habari yenyewe nyepesi kama hewa ya Hydrogen.
Lini wewe ulikuwa UKAWA? Na matusi yote uliyokuwa unatoa?
Chagadema wao ni fukuzafukuza mara msaliti mara maandamano watanzania wa sasa wanataka amani na sio vurugu
Ta Muganyizi, labda sikuelewi hivyo naomba nikuulize, unaposema kukabidhiana una maana gani? Nani anamkabidhi nani? Ninavyojua CCM haijawahi kukabidhi madaraka na sana sana wameendela kuyang'ang'ania, je si hivi karibuni tu wametamka wazi kabisa kuwa hawako tayari kuyaachia madaraka hata kwa miaka mia.Mambo mengine sio mbaya kukubali. Hamna jinsi
Chagadema wao ni fukuzafukuza mara msaliti mara maandamano watanzania wa sasa wanataka amani na sio vurugu
Ta Muganyizi, labda sikuelewi hivyo naomba nikuulize, unaposema kukabidhiana una maana gani? Nani anamkabidhi nani? Ninavyojua CCM haijawahi kukabidhi madaraka na sana sana wameendela kuyang'ang'ania, je si hivi karibuni tu wametamka wazi kabisa kuwa hawako tayari kuyaachia madaraka hata kwa miaka mia.
Yawezekana mimi ni mzito kuelewa lakini ukweli ni kwamba nguvu nyingi sana zimetumika na zinaendelea kutumika kulinda huo uroho wa madaraka. Nadhani tatizo letu Watanzania ni kuwa tu wepesi kukubali kudanganyika, kuhadaika na kusahau mateso tunayopitia katika harakati zetu za kupinga ufisadi kwa kuudai mabadiliko.
Nasikitika nawe ni katika wale waliokata tamaa na kuweka silaha chini ukidhani iko siku utaonewa huruma...CCM ingekuwa na huruma Tanzania ingepaa. Hebu jiulize hizo sifa anazotafutiwa Magufuli je zinazidi alizopewa Kikwete mwaka 2005 alipotuahidi kuwa hangekuwa na ubia katika utawala wake, so sad, so pitiful.
Roho inauma weeeeeee lakini basi tu
wewe ni mwanachama mtiifu wa ccm ulieamia ukawa na watu sample kama yako ndo tunao wengi sana leo magufuli utaona hata wanachama wa ukawa anapongeza Toka lini mwanachama wa ccm akamkubali mtu wa upinzani?
tumezidiwa na wana ccm yani kuna wengine mpaka wazazi wao wameonekana hawana akili kwa kusema ccm ndo baba na mama yao wanachama wa ccm wanamapenzi makubwa na chama Chao kwani unadhani awajuhi ccm ni chama cha mafisadi? wanajua sana bt they are ready to die kwa chama Chao tena wanachama wengi ni maskini wa kutupwa nyumba ya udongo bt bendela ya chama mpya.
cc wa upinzani tunakuwa kama mtoto anae waona wazazi wake wazembe kisa baba wa rafiki yake wamenunua gari bt kasahau kuwa utajili c kama matako ambayo kila mtu anayo
leo unadhani wakina maita kova na wengine awajuhi some time upinzani unaonewa? lakini wa sababu ya kadi zao mfukoni na crown kichwani wanatumia vijana wao watupige mabomu ya machozi tu
fanya utafiti leo viongozi wote wa vyombo vya dola kama police, jeshini, tiss wakistaafu wakataka siasa wanakwenda kagombea chama gani kama si ccm? wakuu wa mkoa na wilaya ni wanajesh wastaafu so jiulize uanachama wamepata lini walikuwa na kadi za chama mfukoni na crown kichwani
leo ukiangalia lumumba alivyofanywa fanywa mbagala na police wakati wanaandamana kama ww ni ukawa kweli kweli usinge andika thread ya kuisifia ccm hapa