Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,777
- 126,725
Nimefurahi sana kuona mkiendelea kulisongesha kama kawaida yenuSisi tupo fresh tu Mkuu [emoji137] [emoji137]
Nimefurahi sana kuona mkiendelea kulisongesha kama kawaida yenuSisi tupo fresh tu Mkuu [emoji137] [emoji137]
Hivi we una mtukana Japan unamjua au unamskia
Japan ndio alikuwa mbabe wa Dunia kabla ya baba ako hajazaliwa
Population ya China ni kuiga technology. Sasa kama ndege tuuu, kaweza juzi kutengeneza,Mhh china yenyewe tu ina watu billion 1 na million 400 huko sasa sijui unaongelea watu gani
hahaha japan kazamisha meli na submarine kibao za U.s na U.k, U.s kaona hii ngumu kumeza kaamua kuwadondoshea nucs ndio wakawa wapole mpaka leo!ila japanese wakatili sanaHivi we una mtukana Japan unamjua au unamskia
Japan ndio alikuwa mbabe wa Dunia kabla ya baba ako hajazaliwa
hahaha japan kazamisha meli na submarine kibao za U.s na U.k, U.s kaona hii ngumu kumeza kaamua kuwadondoshea nucs ndio wakawa wapole mpaka leo!ila japanese wakatili sana
Wale macho madogo kwenye medani za kivita usiwachezee kabisa. Yani wanakua Wana Roho mbaya hatari,huko kwao (Japan) kila siku wanajinyonga kisa kufeli mitihani. Yani kiufupi Wana Roho za paka.hahaha japan kazamisha meli na submarine kibao za U.s na U.k, U.s kaona hii ngumu kumeza kaamua kuwadondoshea nucs ndio wakawa wapole mpaka leo!ila japanese wakatili sana
sidhani kama uwezo wa kupigana vita unapina na idadi ya raiaSiku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
Acha tu watunishiane, hata huku kwetu Mange anamtunishia msuli Anko Magu........Kila Mtu anamtunishia misuli mwenzake
[emoji23] [emoji23] [emoji38] [emoji38]Acha tu watunishiane, hata huku kwetu Mange anamtunishia msuli Anko Magu........
Basi ni raha tu.....
Wa kolomije na mawingu fm
Wa tandale na yule bibie wa wizarani.
Yule waziri na waandamanaji
unaongea ukweli kabisa,submarine za wajapan zilikuwa ni hatari in those old days!hawa watu macho madogo si wa mchezoWajua katiba ya Japan aliandika Mmarekan na kujipa mzigo wa ulinzi wa Japan na Japan wasijiushishe na salaha za maangamiz wala kuboresha jesh, hilo japan walio ni jambo jema maana marekan anagharamia usalama wao na wao wanawaza mambo mengine, hii ilitokana na ukweli kwamba hao watu wa macho madogo wanauwezo mkubwa sana wa kufikir na kugundua mambo, wakiwa na fedha zakufanya utafit ni hatar ya dunia. Ndio maana miaka ya nyuma Japan alikuwa ashikiki hata kidogo na mareken aliibom makusudi kabisa ili kuitisha japan ila alijua kama wangelipa na wao ingekuwa hatar zaid kwa marekan ndio maana akajipa mzigo huo.
Ila jambo hilo halifanyi wajapan wasifanye utafit wa mambo ya kijesh hili siwez kujindanganya waliza wanaprogram nying sana ambazo wamisha zifanyia utafit wa wakutosha na wakiamua kuvunja mkataba wanaweza kuwa balaa zaid ya mwanzo.
Mkuu umetisha sana....Wale macho madogo kwenye medani za kivita usiwachezee kabisa. Yani wanakua Wana Roho mbaya hatari,huko kwao (Japan) kila siku wanajinyonga kisa kufeli mitihani. Yani kiufupi Wana Roho za paka.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Acha tu watunishiane, hata huku kwetu Mange anamtunishia msuli Anko Magu........
Basi ni raha tu.....
Wa kolomije na mawingu fm
Wa tandale na yule bibie wa wizarani.
Yule waziri na waandamanaji
Acha tu watunishiane, hata huku kwetu Mange anamtunishia msuli Anko Magu........
Basi ni raha tu.....
Wa kolomije na mawingu fm
Wa tandale na yule bibie wa wizarani.
Yule waziri na waandamanaji
Acha uvivu wa kufikiri ndugu! hushindi vita kwa wingi wa watu! unashinda vita kwa zana bora za kivita, na mbinuSiku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
Israel inawasumbua Waarabu! watu zaidi ya million 260! wakati Wayahudi hawszidi hata ml 9!?Siku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
lakini Urusi ni kubwa sana wakati hizo nchi ni ndogo na watu wamejazana sehemu ndogondogo. ikipigwa bomu madhara yake yatakuwa maradufuSiku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.