Japan yaonywa na Urusi kutokuathiri usalama wake

Bado wanaonyeshana ubavu na US huko south china sea.US anapitisha madude yake kwenye zile artificial Islands bila kuomba ruhusa,mchina anatoka povu lakini akipiga calculated Risk kuzishambulia Manowari za US anaona atulie kwanza.Ukiifuatilia hii issue ya S.China sea utaona kabisa kuna siku watanyukana tu.USA wababe sana😀😀
Niliona ile spy flight ya us iliokua na mwanadada ndani repoter wa cnn..ilipita wachina wakaionya mara 3 lakini wap....ikabidi wachina watulie
 
Hii kauli aliieema General wa Urusi kwamba US anatuangalia almost Urusi yote...video iko YouTube ...US ni mwendo wa Ubabe...China kalia na THAAD south Korea Leo yuko wapi [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
ISS ni ya nani
 
Siku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
Mzee acha kui-underestimate Russia, unapo ongea weka ushabiki pembeni
Russia nao wapo vizur sana, Russia kamega crimea mbon US kafyata mkia??
 
putin kasema makombora yake mapya yanafanya air defense ziwe useless halafu hapohapo wanamuonya japan asiweke air defense kwakuwa zitaathiri usalama wa urus!!! mzee ana mambo huyu jamani
Putin amekuwa mzee wa fix kama kiongozi mmoja huko Africa ya mashariki....
 
wenye maandiko ya taifa kubwa kupigwa ba taifa dogo watuwekeye hapa tafadhali sioni uhai.wa U.S. ukiwa wakudumu hapa duniani!!

IMG_2480.JPG
IMG_2481.JPG
IMG_2482.JPG
IMG_2483.JPG
IMG_2484.JPG

Abu Nadra reported:
"We were in the company of Jabir b. 'Abdullah that he said it may happen that the people of Iraq may not send their qafiz and dirhams (their measures of food stuff and their money). We said: Who would be responsible for it? He said: The non-Arabs would prevent them. He again said: There is the possibility that the people of Syria may not send their dinars and mudds. We said: Who would be responsible for it? He said this prevention would be made by the Romans. He (Jabir b. Abdullah) kept quiet for a while and then reported Allah's Messenger (ﷺ) having said there would be a caliph in the last (period) of my Ummah who would freely give handfuls of wealth to the people without counting it. I said to Abu Nadra and Abu al-'Ala: Do you mean 'Umar b. 'Abd al-Aziz? They said: No (he would be Imam Mahdi).
"‏ يَكُونُ فِي آخِرِ أُمَّتِي خَلِيفَةٌ يَحْثِي الْمَالَ حَثْيًا لاَ يَعُدُّهُ عَدَدًا ‏"Abu Nadra reported:
"We were in the company of Jabir b. 'Abdullah that he said it may happen that the people of Iraq may not send their qafiz and dirhams (their measures of food stuff and their money). We said: Who would be responsible for it? He said: The non-Arabs would prevent them. He again said: There is the possibility that the people of Syria may not send their dinars and mudds. We said: Who would be responsible for it? He said this prevention would be made by the Romans. He (Jabir b. Abdullah) kept quiet for a while and then reported Allah's Messenger (ﷺ) having said there would be a caliph in the last (period) of my Ummah who would freely give handfuls of wealth to the people without counting it. I said to Abu Nadra and Abu al-'Ala: Do you mean 'Umar b. 'Abd al-Aziz? They said: No (he would be Imam Mahdi).
"‏ يَكُونُ فِي آخِرِ أُمَّتِي خَلِيفَةٌ يَحْثِي الْمَالَ حَثْيًا لاَ يَعُدُّهُ عَدَدًا ‏"
 
Mzee acha kui-underestimate Russia, unapo ongea weka ushabiki pembeni
Russia nao wapo vizur sana, Russia kamega crimea mbon US kafyata mkia??

Akamege na alaska uone anavyofinyangwa kama nyanya. Sasa South Africa kamega jimbo la Botswana unataka Tanzania ifanyeje?!
 
Akamege na alaska uone anavyofinyangwa kama nyanya. Sasa South Africa kamega jumbo la Botswana unataka Tanzania ifanyeje?!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji38] akamege Alaska anajitaka au hajitaki
 
putin kasema makombora yake mapya yanafanya air defense ziwe useless halafu hapohapo wanamuonya japan asiweke air defense kwakuwa zitaathiri usalama wa urus!!! mzee ana mambo huyu jamani
Ana akili kama za mwenyekiti wa chama chetu tawala.
 
putin kasema makombora yake mapya yanafanya air defense ziwe useless halafu hapohapo wanamuonya japan asiweke air defense kwakuwa zitaathiri usalama wa urus!!! mzee ana mambo huyu jamani
Zinakua useless kama yeye akiattack.
Russia anahofia marekani akishirikiana na Japan kwenye huo mpango mpya(Japan/Russia border) Marekani atawazoom kwa karibu sana.....
 
Akamege na alaska uone anavyofinyangwa kama nyanya. Sasa South Africa kamega jimbo la Botswana unataka Tanzania ifanyeje?!
Baki na baba yako Magu naona akili zenu mnafanana
 
Siku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
Mkuu idadi ya watu ktk vita vya kisasa vinavyopiganwa kwa kutumia teknolojia idadi ya watu haina mashiko wala athari yeyote.

Hao hawapigani convetional war ya piga nikupige na bunduki zenye singe na mabomu ya kurusha kwa mkono.
 
Back
Top Bottom