ze kokuyo
JF-Expert Member
- Jan 24, 2014
- 7,476
- 9,654
Waziri wa Mambo ya nje wa Urusi Sergey Lavrov ameonya kwamba uwekwaji wa mitambo mipya ya kuzuia makombora nchini Japan tokea Marekani inaathiri moja kwa moja usalama wa Urusi pamoja na maslahi yake katika eneo hilo.
Amesema kwamba anaheshimu maamuzi ya Japan kutaka kujilinda dhidi ya kitisho Cha Korea kaskazini lakini lengo hilo halitakiwi kuathiri usalama wa wengine.
Licha ya Japan kusisitiza kwamba usimamizi wa mitambo hiyo utakua chini yake lakini Urusi imeendelea kuwa na shaka kwamba bado Marekani itahusika namna moja au nyingine kwenye mitambo hiyo Jambo ambalo litaathiri usalama wake( Urusi).
Japan joining US global anti-missile shield ‘directly affects’ Russia’s security interests – Lavrov