Uwelewa wako wa mambo ya siri za nchi nimdogo sanaSiku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
Bado wanaonyeshana ubavu na US huko south china sea.US anapitisha madude yake kwenye zile artificial Islands bila kuomba ruhusa,mchina anatoka povu lakini akipiga calculated Risk kuzishambulia Manowari za US anaona atulie kwanza.Ukiifuatilia hii issue ya S.China sea utaona kabisa kuna siku watanyukana tu.USA wababe sana😀😀Mchina aliona isiwe taabu kaamua apige Kimya tu maana kulikua hakuna hata anayemsikiliza
Ungetuambia na wachina wapo wangapi ingependeza zaidi.Siku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
Brother Japan's na German wako chini ya kifungo toka WW2 hawaruhusiwi kuwa na machine za maangamizi. Mbona vikwazo vikilegezwa in wiki tu waniliki Nueclearjapan naye mbwa tuu! pamoja na teknollojia yote wameshindwa kuunda air defence zao!! hata ulinzi wanamtegemea bwana wao US
alishindwaga mjeremani mkuu.kuna watu wamezaliwa kwa ajili ya vitaSiku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
Hivi we una mtukana Japan unamjua au unamskiaBrother Japan's na German wako chini ya kifungo toka WW2 hawaruhusiwi kuwa na machine za maangamizi. Mbona vikwazo vikilegezwa in wiki tu waniliki Nueclear
Wabongo bhanaaa, hiyo mathematics uliyoipiga sijui ulikuwa umelewa...[emoji23] [emoji23]Siku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
[emoji23] [emoji38] [emoji38] Popcorn hazitoshi mkuu,tafuta miwa kabisaNaonga Mageneral Wa Kirusi Kutokea Makao Makuu Moscow Na St Petersburg Na Wengine Kutokea Pentagon Na Washington Wanavyobishana Kuhusu Silaha Zao Nani Mkali Tafadhali Sogeza Kigoda Chako Ukiwa Na Popcorn Zako Pembeni
Nyerere alisema usifikiri jambo likitokea Sehemu fulani ya Ulimwengu halituhusu, La hasha! Kama sote tunaishi dunia moja basi yapaswa kutoa maoni juu ya chochote kinachoendela, maana madhara huja kumuathiri kila mmoja kwa njia tofauti..Watajuana Ya Wakubwa Watoto Haturuhusiwi Kuongea
Kwani ya urusi ndio haioni dunia nzima? Kwa taatifa yako urusi ndio ilikua ya kwanza kurusha satellite na marekani ikafuata mwaka mmoja baadae, Urusi na Marekani wanashirikiana kwenye mambo ya Anga kwahiyo hakuna mwenye jipya hapoTatizo la Russia bwana, ni kama mtoto mdogo. USA satellite yake inaona dunia nzima. Anakuja kuchanganyikiwa na mitambo inayofungwa uko Japan na South Korea. General position System {GPS} inaona kila kitu cha hii dunia, wao wanadata na izo silahaa zao
Mhh china yenyewe tu ina watu billion 1 na million 400 huko sasa sijui unaongelea watu ganiSiku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
mrusi ni shida kweli yanAnae mwamimnigi Mrusi kwa hizi mambo kweli akapimwe...US akikaaga naona anachekaga mwwnyewe

Mchina aliona isiwe taabu kaamua apige Kimya tu maana kulikua hakuna hata anayemsikiliza
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nawasalimu[emoji137] [emoji137] [emoji137] [emoji137]Jamani! [emoji3] [emoji28]