Nalendwa
JF-Expert Member
- Aug 9, 2016
- 7,466
- 13,031
Nimegundua humu watu wanadhani kuwa na watu wengi ndio military power.. As if tunaenda wote na mishale kupigana vita.. Hahaha
Hehe!, na mishale tena 😀
Nimegundua humu watu wanadhani kuwa na watu wengi ndio military power.. As if tunaenda wote na mishale kupigana vita.. Hahaha
Tatizo Mageneral Wa Russia waongo kama Putin.Naonga Mageneral Wa Kirusi Kutokea Makao Makuu Moscow Na St Petersburg Na Wengine Kutokea Pentagon Na Washington Wanavyobishana Kuhusu Silaha Zao Nani Mkali Tafadhali Sogeza Kigoda Chako Ukiwa Na Popcorn Zako Pembeni
Si afadhali chupi za kuagiza China kuliko tunazovaa za mtumba.Kama Japan ni mbwa ,je sisi ambao hata chupi tunaagiza China uli kusitiri madude yetu,tutakuwa akina nani😛aka,mijusi,mbwa koko ,bundi au akina nani
Ungelijua baada ya vita ww2 kuisha na japani ku surrender hapo tayari kijeshi ipo chini ya uangalizi wa marekani.Kama Japan ni mbwa ,Wakolomije sie sijui tutakuwa mnyama gani
Miti tunayo ila toothpick tunaagiza India
Loo toa boriti kwenye jicho lako ndipo utoe kibanzi kwa mwenzio
hao wachato sindo watakuwa kukumaji washamba tuuuuu......Kama Japan ni mbwa ,Wakolomije sie sijui tutakuwa mnyama gani
Miti tunayo ila toothpick tunaagiza India
Loo toa boriti kwenye jicho lako ndipo utoe kibanzi kwa mwenzio
Usichanganye madesa!!! Suala si kuona Bali kuathiri ulinzi wa anga wa nchi husika!! Inawezekana kuona bila kuathiri!!!Tatizo la Russia bwana, ni kama mtoto mdogo. USA satellite yake inaona dunia nzima. Anakuja kuchanganyikiwa na mitambo inayofungwa uko Japan na South Korea. General position System {GPS} inaona kila kitu cha hii dunia, wao wanadata na izo silahaa zao
Haushangai urusi peke yake inafanya mataifa yote ya magharibi kuogopa? Urusi ndo mwenye makombora mengi zaidi ya nyuklia duniani!! Ndo mwenye vifaru vya kisasa vingi zaidi duniani!!! Chezea Putin weye?Siku, akijichanganya vibaya Russia kwa USA. Wanamwaga Biological Toxins pale St. Petersburg na pale Moscow.
Wanakufa warusi wote ambao wapo katika zile kambi zao na kwenye maabara zao. Tatizo la Russia kuwa na watu Million 145 hana uwezo wa kupambana na watu million 600 wa ulaya na watu million 326 wa USA.
Yaani akirusha kitu ulaya anapasuka mapema tuu. Jumlisha na Japanese wapo million 126 na South Korea million 66
Alafu wajumlishe hao wachina na urusi na Irani na ndugu zao north Korea wanapasuka mapema tuuuuu
Japan ina bahati mbaya sana terms and conditions Kiduku atakazo atakazo mpa Trump
kama Trump akishindwa akianzisha vita Russia ataifanya kitu kibaya japan kama north korea ikifutwa na japan nayo itafutwa yote !!!!
Hahahahaha Conditions atakazo pewa Trump atajuta kuingia kwenye mazungumzo hawa jamaa wakiamua kumwambia Trump tumeamua nchi yetu iwe jimbo la china!!!Naona dogo kaenda China kwa ajili ya maandalizi na kujipiga msasa kwa ajili ya maongezi na Mzee. Afanye jambo la maana sana, asije kuchemsha mbele ya mzee bure...lol! 🙂
Hahahahaha Conditions atakazo pewa Trump atajuta kuingia kwenye mazungumzo hawa jamaa wakiamua kumwambia Trump tumeamua nchi yetu iwe jimbo la china!!!
Itakuwaje!!? Sila zetu zitaharibiwa na china na urusi!!! itakuwaje!
Inaweza tokea si bado watakuwa na nguvu zao zile zile za kuongoza watakuwa na nguvu zaidi ya Zanzibar ilivyo !Hhaha!,...ti jimbo la China! 😀
Kiduku na familia yake wanavyopenda Ukubwa then wakakae chini ya China?!
Haha, hiyo ni never. Unless ajifanye kumtishia babu..
Inaweza tokea si bado watakuwa na nguvu zao zile zile za kuongoza watakuwa na nguvu zaidi ya Zanzibar ilivyo !
ila lazima Babu yenu ajute masharti atakayo pewa na Kim haya mazungumzo kama ni mziki ndio umefikika patam !!
Tusubiri tuone!
Sasa mkuu US ndio kiranja wa hii dunia. Itabidi wawe wapole tuBado wanaonyeshana ubavu na US huko south china sea.US anapitisha madude yake kwenye zile artificial Islands bila kuomba ruhusa,mchina anatoka povu lakini akipiga calculated Risk kuzishambulia Manowari za US anaona atulie kwanza.Ukiifuatilia hii issue ya S.China sea utaona kabisa kuna siku watanyukana tu.USA wababe sana😀😀
Anae mwamimnigi Mrusi kwa hizi mambo kweli akapimwe...US akikaaga naona anachekaga mwwnyewe
Ndo maana anaendelea kuisuka vyema timu yake ya mazungumzo.Mh!, kabsa wakubali kuwa chini ya wengine?!
Hata kama watakuwa na nguvu hiyo ni sawa na kupoteza Nationality ujue?
Anywayz, tusubiri.
Huu mziki kweli umefika patamu.
Halafu wanasema inaonekana mzee atatumia Spies zaidi kuongoza Mazungumzo badala ya Diplomats.
Ndo maana anaendelea kuisuka vyema timu yake ya mazungumzo.
mkuu Putin kajaribu tena gobore jingine mbona U.S. hawa muwekei vikwazo!!?Ndo maana anaendelea kuisuka vyema timu yake ya mazungumzo.
Na ataipiga kweli mkuu U.S. hawezi piga wengine tu kila siku na yeye asipigwe!Sasa kwani Putin anamtisha Mtu,yeye anajaribu kwa ajili ya kujilinda Ila huyo Mwendawazimu wenu anasema kabisa anataka Nuke ili aipige Marekani