Japan: Waziri Mkuu wa zamani, Shinzo Abe afariki dunia baada ya kushambuliwa kwa risasi

LDP sources say former Japanese Prime Minister Abe Shinzo has died. He was shot during a speech on Friday in the city of Nara, near Kyoto.

Dah.. Masikini..

Viongozi Japan naonaga wako peace sana, hawanaga mamno mengi kama mabeberu!

Haya ccm jikusanyeni nendeni msibani sasa maana hayo ma V8 mnayotembelea yametoka huko
 
Huyo kajitoa muhanga na lolote liwe, katika hali hiyo kumzibiti kiulinzi mtu wa aina hiyo ni kazi kubwa sana. Hii inanikumbusha jinsi alivyouawa Rais wa Misri Anwar Sadat alipokuwa uwanjani mbele ya walinzi wake.
Kwanini muhuni kama huyo asipite na Putin
 
Shirika la Habari la NHK linaripoti kuwa, Waziri Mkuu wa zamani wa Japan, Shinzo Abe amekimbizwa Hospitalini baada ya kujeruhiwa kwa risasi mgongoni wakati akitoa hotuba katika Mji wa Nara.

Imeelezwa, Abe ambaye aliachia nafasi ya Uwaziri Mkuu mwaka 2020 kwasababu za kiafya alidondoka wakati akihutubia na alionekana akitoka damu.

UPDATE: SHINZO ABE AFARIKI DUNIA

Muda mfupi baada ya Ripoti za kupigwa risasi wakati akihutubia katika Kampeni, Shirika la NHK limeripoti kuwa Shinzo Abe ambaye ni Waziri Mkuu aliyehudumu kwa kipindi kirefu zaidi Nchini Japan amefariki dunia

Shambulio hilo dhidi ya Abe (67) limetokea katika Mji wa Nara, na inaripotiwa kuwa Mtuhumiwa ambaye ni Mwanaume aliye na miaka ya 40 amekamatwa

Abe alihudumu kama Waziri kati ya 2006 - 2007, na akaongoza tena katika nafasi hiyo kuanzia 2012 - 2020, aliachia madaraka kutokana na sababu za kiafya

=======

Former Japanese Prime Minister Shinzo Abe has collapsed after he was shot at an event in the city of Nara.

Mr Abe was shot from the back and collapsed halfway during his speech, and appeared to be bleeding, broadcaster NHK reported. His attacker is in custody, it added.

Ex-Tokyo governor Yoichi Masuzoe said in a tweet that Mr Abe was in a state of cardiopulmonary arrest.

The term is often used before a death is officially confirmed in Japan.

Mr Abe, who was Japan's longest-serving prime minister, stepped down in 2020 citing health reasons. He later revealed that he had suffered a relapse of ulcerative colitis, an intestinal disease.

Former Japanese Prime Minister Shinzo Abe has died, according to Japan's national broadcaster.

Abe, 67, who remains Japan's longest serving prime minister, was shot while giving a campaign speech.

The suspected attacker - reported to be a man in his 40s - was tackled at the scene and arrested.

Source: BBC
Ukistaafu haimaanishi kuwa Watu wenye Uchungu nawe kwa uliyowafanyia na Wao Watastaafu kutaka Kukumaliza.

Kuna mwingine nae Mstaafu yuko Tanzania nasikia Watu wa Kanda ya Ziwa ( hasa kwa Wasukuma na Wasubi ) wana Hasira nae kwa lile la 17 Machi, 2021.
 
RIP Abe
 

Attachments

  • Screenshot_20220708_122819.jpg
    Screenshot_20220708_122819.jpg
    81.3 KB · Views: 8
  • Screenshot_20220708_122757.jpg
    Screenshot_20220708_122757.jpg
    85.1 KB · Views: 6
Back
Top Bottom