Japan pm,naoto khan mbele ya press conference live cnn.

commonmwananchi

JF-Expert Member
Mar 12, 2011
3,377
1,952
Waziri mkuu wa japan Naoto khan akiongea na press confernce live CNN.Huyu kiongozi anaelezea madhara halisi ya tsunami iliyoikumba nchi hiyo.Tofauti na niliyozoea kuona hapa kwetu,huyu anaongea akiwa amesimama mbele ya waandishi(ambao wamekaa),hana chupa ya maji wala glasi mbele yake na yuko kweli katka hali ya majonzi(nafikiri alikuwa analia kabla)kwa muonekano.hakuna tabasamu wala vicheko hata kidogo, kama tulivyoona hapa kwetu majuzi kwenye janga la mabomu Gongo la mboto.
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom