Japan haiwafai Waafrika?

asantw kwa taarifa. kwa hiyo hili lawezekana kuwa sio la kweli au wewe unaweza kuwa exception. hebu jaribu kucheki washkaji uliokuwa nao huko na muda walioishi na watoto waliowazaa baada ya stay yao huko.

mkuu nawajua Mapopo wawili pia wana vijidume, lkn vimodels viwili viwili sasa kama yeye ameishi kweli huko aseme na sio kusikia tu....btw wanawake nao ni bomba tuuu...
 
Back
Top Bottom