Japan haiwafai Waafrika?

Inawezekana ikawa kweli!..hizo ni effect za hiroshima nuclear bombs..sitaishi japan hata kwa dawa.
 
Hilo tatizo lipo sidhani kama ni kwa waafrika pekee mm nachojua ni kwamba baada ya bomu la nuclear kupigwa huko japani matatizo makubwa yalianza kujitokeza kama vile watu kuzaa watoto vilema wa viungo mbalimbali hilo pia inawezekana ikawa sababu

Lakini bomu la nyuklia halikuwa kwa Japan nzima bali Nagasaki na Hiroshima. sasa kwa nini halii hii itokee kote Japan? na kwa nini iwe waafrika weusi tu? au labda niseme Watz? manake hawa washkaji niwajuao wote ni watz.
 
Dr wa Rais, Prof Janabi, would be in a good position to answer this question scientifically.

I am not sure if he is a JF member.

tusaidie bac kutuulizia then utujuze atakachokwambia. halafu ww Okada, japan si ndo kwenu au? manake hilo jina ni la kihuko huko
 
Dah kwa maana hiyo inabidi kujua kama mtu amewahi ishi Marekani kabla ya kufanya Love Conect, hasa kama unataka kuwa na watoto wa kiume.

sio marekani ni japan. marekani hakuna condition kama hii.
 
urongooooooooooooooooooooooooooooo:A S-baby::A S-baby:
kwaiyo ndo kusema japana hakuna wanaume?
mistak bwana:A S 114:

someni maelezo vizuri basi msikurupuke amesema wenyeji hawaathiriki kwasababu wamezoea mazingira ila wageni ndo hali kama hiyo inawapata
 
Kwa wale wanaotafuta watoto wa kike then kunahaja ya kumtafuta aliyeishi Japan for more than 2years ili kufanikisha hii mambo!!! Duh, sioni ukweli kwenye hili lithread.
 
Aii nilikuwa nataka kusema Japan nkajisemea Marekani. Hi njaa ya asubuhi asubuhi hii, sio nzuri.

hahaha pole. hayo ndo matatizo ya kunywa chai bila vitafunio. bora bac hiyo chai ingekuwa na maziwa kidogo, au? ... sisi wachezaji tunashariwa tushibe kabla ya kuanza mazoezi asubuhi...!
 
Inawezekana ikawa kweli!..hizo ni effect za hiroshima nuclear bombs..sitaishi japan hata kwa dawa.

boc we unataka upate midume watupu nini? magulumagu anasema yeye katotoa wote, majike na madume so labda hii sio kweli. unaweza kwenda ukiwa na hii fact then utasaidia kwenye hii research afanyayo afrodenzi. au hutaki kuwa part of statistics?
 
Duuh... hii aise yawezekana kuwa kweli, maana washikaji wote wamebahatika watoto wa kike!!

ikiwa kweli sidhani kama tutaita kubahatika. hapo kubahatika itakuwa kupata mtoto wa kiume, as an exception to standard set up. labda magulumagu yeye ndo ana-fall kwenye hiyo exception. lakini pia inaweza kuwa si kweli ila ni coincidence tu kuwa watu hao tuwajuao wote wamepata watoto wa gender fulani tu. tatizo letu sisi huwa hatufanyi tafiti na hata tukizifanya hatuzitangazi kwa sababu nyingiii nyingine za kisiasa eg ili tusivuruge mahusiano yetu ya kiserikali na Japan etc au ili tusije fanya watu wetu wakagoma kwenda kusoma japan etc. lakini ukihesabu idadi ya wanaume wa kiswahili walioishi japan kwa muda mrefu kidogo na watoto waliokuwa kuwazaa baada ya their stay, wengi ni watoto wa kike (kama sio wote) kitu ambacho kwa wenye kuweza kinaweza kuwa of interest kufanyia utafiti.
 
Amecopy na kupaste huyo....watu tumeishi huko na tumetotoa watoto bomba tu wa Kike na wa Kiume....

asantw kwa taarifa. kwa hiyo hili lawezekana kuwa sio la kweli au wewe unaweza kuwa exception. hebu jaribu kucheki washkaji uliokuwa nao huko na muda walioishi na watoto waliowazaa baada ya stay yao huko.
 
Wee uko Japan au unataka kwenda huko?nauliza hivyo ili niweze pata sehemu ya kuanzia .

Na kama ni kweli nini kifanyike ili mtu aweze kuzaa kama kawaida bila ya kupatwa na hayo madhara ya 'ujapani' kwani kuzaa watoto wa kike ni madhara!!!! you mean ukizaa watoto wa kike unakuwa hujazaa kawaida!!! analyze your statements kwanza
 
Na kama ni kweli nini kifanyike ili mtu aweze kuzaa kama kawaida bila ya kupatwa na hayo madhara ya 'ujapani' kwani kuzaa watoto wa kike ni madhara!!!! you mean ukizaa watoto wa kike unakuwa hujazaa kawaida!!! analyze your statements kwanza

nakubaliana nawe si madhara kuzaa mtoto wa kike, au mtoto yeyote yule so long as process ya uzazi imeenda kikawaida (natural way) badala ya kuwa impaired kwa namna yoyote ile, artificial au vinginevyo. sikuwa na maana ya kusema ni madhara kuzaa mtoto wa kike, ambaye binafsi ninaye na nampenda sana na kumshukuru sana Mungu wangu kunipatia huyu binti yangu! but itokeapo kuwa kwa aina ya mazingira lazima watu wa race fulani wazae watoto wa aina fulani pekee, wavulana au wasichana, then hapo kuna anomaly manake nature inakuwa imetibuliwa kwa namna fulani, au unasemaje jadia
 
Back
Top Bottom