Japan devastated by tsunami

m_kishuri

JF-Expert Member
Jan 27, 2010
1,484
372

slide_18209_252189_huge.jpg

slide_18209_252192_huge.jpg

slide_18209_252179_huge.jpg

slide_18209_252194_huge.jpg

slide_18209_252184_huge.jpg
 
Tuombe kwa Mungu yasije yakatukuta hapa kwetu Bongo! Halafu chakushangaza ni kwanini maafa kama haya hutokea kwenye nchi zilizo na maendeleo makubwa ya kiuchumi? Kweli Mungu anakilasababu zake!:sad:
 
Kiama hicho. Mungu atunusuru.
Hapana, sio kiama. Ma tsunami haya yanatokana na tectonic movements ardhini.

Zimezidi kwa sababu binadamu amezidi ku destabilize earth crust.

Tunachimba mafuta, tunachimba chuma na mawe ardhini, tunaondoa gesi ardhini, tunajenga magorofa mazito kwenye sehemu ambayo originally hakukuwa meant kubeba uzito huo, tunalipua mabomu ya nuklia, hayo yote yana distort natural integrity of the earth crust.

Forget the "Mungu tunusuru" claptrap. Angekuwa anaweza kukunusuru asingesubiri umbembeleze baada ya li-tsunami kuuwa Wajapan, yeye si Mungu wa huruma kwa wote, sasa akunusuru wewe, wewe una sura nzuri zaidi?
 
,,,,,Hakika NGUVU ZA MUNGU NI KUBWA kuliko za binadamu,jifikirie hapo hata kama USA na mavifaru yake,Ma meli ya kivita hayo n.k yangesaidia nini kwa bahari hii ILIOHAMIA mjini???ni balaa kubwa.
 
Hapana, sio kiama. Ma tsunami haya yanatokana na tectonic movements ardhini.

Zimezidi kwa sababu binadamu amezidi ku destabilize earth crust.

Tunachimba mafuta, tunachimba chuma na mawe ardhini, tunaondoa gesi ardhini, tunajenga magorofa mazito kwenye sehemu ambayo originally hakukuwa meant kubeba uzito huo, tunalipua mabomu ya nuklia, hayo yote yana distort natural integrity of the earth crust.

Forget the "Mungu tunusuru" claptrap. Angekuwa anaweza kukunusuru asingesubiri umbembeleze baada ya li-tsunami kuuwa Wajapan, yeye si Mungu wa huruma kwa wote, sasa akunusuru wewe, wewe una sura nzuri zaidi?[/QUOTE]

Makofi kwako kwenye red at least umenena kijiografia na kwa kuongeze ukanda ule wote ni lazima uathirike kwa kuwa
ndio makutano ya hizi t.plates.
Kwenye bluu punguza jazba shule zinatofautiana.
 
[video]http://www.cnn.com/video/#/video/world/2011/03/12/von.nhk.japan.miyako.nhk?hpt=C2[/video]
 
Hapana, sio kiama. Ma tsunami haya yanatokana na tectonic movements ardhini.

Zimezidi kwa sababu binadamu amezidi ku destabilize earth crust.

Tunachimba mafuta, tunachimba chuma na mawe ardhini, tunaondoa gesi ardhini, tunajenga magorofa mazito kwenye sehemu ambayo originally hakukuwa meant kubeba uzito huo, tunalipua mabomu ya nuklia, hayo yote yana distort natural integrity of the earth crust.

Forget the "Mungu tunusuru" claptrap. Angekuwa anaweza kukunusuru asingesubiri umbembeleze baada ya li-tsunami kuuwa Wajapan, yeye si Mungu wa huruma kwa wote, sasa akunusuru wewe, wewe una sura nzuri zaidi?

Umenena!
 
EEE mungu wasaidie walioathirika na sie pia yasitukute kama haya maana!
 
EEE mungu wasaidie walioathirika na sie pia yasitukute kama haya maana!

Kwe kabisa, kwani hii ni hali ya kusikitisha sana. Nimesikia kuna mji moja ambao asilimia 90% ya watu wake wapo unaccounted for.

Hapa gari langu nililoagiza silipati tena!!!Hata kuwadai jamaa nitashindwa!Ngoja nisubiri kama kuna baadhi watakuwa wamepona!!Poleni sana lakini ........sijui nifanyaje
 
Tuchukue tahadhari, tanzani pia ina plates kama tatu hivi sikosei.

Na hii inatukumbusha kuwa kwa umasikini wetu, tusikimbilie mambo mengine (kama kuwa na vinu vya nuclear kwa ajili ya umeme) bila kuchukua hadhari kubwa. Maana upo uwezekano mkubwa wa kuja kupata tetemeko kubwa hapo TZ. Fikiria tukija kufanikiwa kuwa na vinu vya nuclear, halafu tupate tetemeko kama la Japan, it will be a great disaster kwa nchi yetu na umasikini tulionao.
 
Back
Top Bottom