Japan: Dar could become an Industrial Hub


Hakuna uwekazaji wowote ule unaowezwa kufanywa na Nchi yenye ngazi ya Kimaendeleo Kama Ujapani nchini mwetu, Nitajie Kiwanda Kimoja tu ambacho Nchi kama Ujapani wanaweza kujenga Tanzania au kwa maana nyingine nitajie Kiwanda hata kimoja tu ambacho Ujapani kulingana na mazingira yetu wanaweza kujenga!

Labda kwenye rasilimali kama wanavyofanya wengine yaani waje wapewe migodi kama ni Chuma, Shaba, Chromium, Titanium, cobalt, Uranium au hata Gesi na kuchukua kama Malighafi kupeleka kwao kuifanyia kazi, kuongeza thamani na kutuuzia tena kama Bidhaa, au labda wakabidhiwe Bandari pamoja na Reli na Ziwa Tanganyika kwa miaka 50 ijayo kama walivyopewa wengine, hapo ni sawa...na kama huo tunauita ni uwekezaji basi hapo sina la kusema
 
Waache waje linchi kubwa hili lkn ili tuendelee lazima tuzaane saaaaaaana maana mil45 ni kidogo kuhandle mfumuko wa viwanda Vya Japan.heko kikwete wangu the best president until so far in Tanzania
 
sorry mleta mada: I don't see neither the BRAINS nor the CULTURE to actually realise the industrialization dream any time soon.
 

We huna habari na megawatt 3000 za gas ya mtr?
 
Japan wanataka gas kwasababu wanatumia nuklia ni hatari sana sehemu za tetemeko ya ardhi.
 
Kikubwa si viwanda ni ujuzi tukiwa na wataalamu na technologia inatosha mfano mzuri ni wao
 
Can you please post the source of this article....?


Sijui kwanini MODES wameondoa PICHA na SOURCE... kulikuwa na picha za PIKIPIKI ya KIJAPANI na SOURCE ni GAZETI LA CITIZEN la BONGO
 
Hayo ndio mambo ya Kikwete. Halafu ooh anasafiri sana. Mlifikiri anaenda kucheza kule?

Ahsante Kikwete. Ukimaliza muda wako tutakukumbuka kwa kuibadilisha Tanzania, from less than a dollar a day since Nyerere's failed azimio la Arusha to when you took over, none before you could cross the barrier. Now you have crossed it plus. We are now for the first time over a 2 dollar a day country and still counting.

Bravo Jakaya.
 
si kuna waziri wa japan alisema waafrica iq yetu ipo chini au?sasa wanasemaje tena?
 
si kuna waziri wa japan alisema waafrica iq yetu ipo chini au?sasa wanasemaje tena?

Kwani uongo? Mngekuwa na IQ kubwa au sawa na yao si mngekwenda nyie kufunguwa viwanda kwao?

Hapo sasa!
 


Lakini, awe ametuacha Salama huko IMF na WORLD BANK... Hiyo SHORT TERM LOANS anazochukua kuendesha serikali ITATUTOKEA PUANI kama GREECE...
 

Lakini, awe ametuacha Salama huko IMF na WORLD BANK... Hiyo SHORT TERM LOANS anazochukua kuendesha serikali ITATUTOKEA PUANI kama GREECE...

Vijimikopo hivi wala visikutie shaka, kwa Gas tuliyonayo, tunaweza kopa mara 100 ya madeni tuliyonayo sasa and we are still safe.
 
Vijimikopo hivi wala visikutie shaka, kwa Gas tuliyonayo, tunaweza kopa mara 100 ya madeni tuliyonayo sasa and we are still safe.

Mbona IMF wameanza kutuonya na hiyo MIKOPO? Tatizo ni kuibadilisha hiyo GAS into HARD CURRENCY to pay THEM...
 

uh Yeah Tumezichoka hizo PIKIPIKI za KICHINA Majina Shida kuyataja... Spear Parts kila siku ni NYINGINE no STABLE MARKET... Nyingi ni BURE CCM affiliation...

Wachina ndio wanaowaleta wajapani nchini kwa kuanzisha machimbo ya chuma nchini ambayo ni uti wa mgongo katika uundaji wa vifaa mbalimbali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…