gogo la shamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 6,669
- 2,165
watengeneze kwanza kiwanda cha kutengeneza magari na ndege
kijakazi wa II,
Kwani kusema Wajapani wanataka kujenga viwanda TZ hiyo ni kumaanisha viwanda vya magari?! Au kv nilitoa mfano wa gharama za kutengeneza Saloon ndo uka-conclude kwamba tunasema wa-JP wanataka kujenga viwanda vya magari? From my understanding, JP wana viwanda vya aina mbalimbali!! But all in all, ingawaje hoja ulizotoa ni za msingi lakin hazitoshelezi kuwa kigezo cha ku-disgrade uwezekano huo! kati ya vyote ulivyosema TZ hatuna, none is immovable!
Ujapani hawawezi kuja kujenga Kiwanda cha kutengeza Magari TZ leo hii hata iweje!
Na sababu ni rahisi sana hakuna hayo mazingira ya kuruhusu Viwanda vya namna hiyo, kuanzia Umeme, Maji, Wataalamu waliobobea kwenye huo Ufundi kuanzia Mafundi Mchundo mpaka Wahandisi wa Umeme, Magari, hakuna Nchini mwetu.
Tanzania nzima labda kuna Mtu mmoja au wawili wenye utalamu wa mambo Chuma (Metallurgy) na hao wote kama wapo watakuwa hawajasoma TZ...
Hizo Nchi ulizozitaja za Asia zilizopata huo Uwekezaji ktk Ujapani au sehemu nyingine Duniani ni kwamba zilishafanya hayo mambo kwanza na ndio ikawa Rahisi kwa Wawekezaji kuja, sasa Ujapani au nchi nyingine yoyote ile haiwezi kuja kukufundishia Wahandisi, kuja kukujengengea Miundo Mbinu ya Umeme wa Uhakika, kukujengea Miundo mbinu ya Maji ya Uhakika, kukujengea na kukuimarishia Miundo mbinu ya Bandarini na kuhakikisha Ufanisi upo na kuondoa wizi...
Nitakupa Mfano mdogo sana, Kiwanda cha Chuma cha MM Steel Mikocheni kikiwashwa sehemu nyingine zinakosa umeme wa uhakika sasa sembuse hicho cha Magari?
Hakuna Mtu atakaye tujengea Viwanda, Hilo ni Jukumu Letu sisi Wenye Nchi!
Kama CCM wameua viwanda vya ngozi, viatu, magunia viwanda vya magari vitapona?watengeneze kwanza kiwanda cha kutengeneza magari na ndege
si kuna waziri wa japan alisema waafrica iq yetu ipo chini au?sasa wanasemaje tena?
GOOD!.. Tuko pamoja!I does not mean I believe or not believing... I"M SHARING THIS ARTICLE which catch my EYE's
Hayo ndio mambo ya Kikwete. Halafu ooh anasafiri sana. Mlifikiri anaenda kucheza kule?
Ahsante Kikwete. Ukimaliza muda wako tutakukumbuka kwa kuibadilisha Tanzania, from less than a dollar a day since Nyerere's failed azimio la Arusha to when you took over, none before you could cross the barrier. Now you have crossed it plus. We are now for the first time over a 2 dollar a day country and still counting.
Bravo Jakaya.
Lakini, awe ametuacha Salama huko IMF na WORLD BANK... Hiyo SHORT TERM LOANS anazochukua kuendesha serikali ITATUTOKEA PUANI kama GREECE...
Vijimikopo hivi wala visikutie shaka, kwa Gas tuliyonayo, tunaweza kopa mara 100 ya madeni tuliyonayo sasa and we are still safe.
uh Yeah Tumezichoka hizo PIKIPIKI za KICHINA Majina Shida kuyataja... Spear Parts kila siku ni NYINGINE no STABLE MARKET... Nyingi ni BURE CCM affiliation...