January ni lango; panda mbegu yako sasa!

Kumbe kuna Mungu wa kike!!
 
Naomba uendelee kuichambua hiyo miezi yote tuliorithi toka huko upaganini, utupe na athari zake (za kuitumia kalenda hiyo)
sitaweza kuendelea tena maana kuna mtu ana mtizamo hovyo ashaanza nitukana. Principal yangu mwaka huu sitajibu upuuzi, atakaye niletea upuuzi namuweka kwenye ignore list .
 


Mkuu Je? hii ni madhabahu? mshana jr
Na kwa Imani zetu za sasa madhabahu hizi bado zina mashiko?
 


Mkuu Je? hii ni madhabahu? mshana jr
Na kwa Imani zetu za sasa madhabahu hizi bado zina mashiko?
Sikuweka kwa nia hiyo bali kama kiwakilishi cha msingi imara kwenye mipango na matarajio yetu
 
Lengo la kalenda ni kutambua nyakati ili kuweza kupanga mipango, kuweka na kupima malengo. Huo ndio mwisho, nyingine zote mbwembwe.
 
Avachee!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…