Pole sana mshukuru Mungu umenusurika simama tena usonge mbele usisononeke! Mimi kuna mwaka nilitapeliwa na mtu nunayemfahamu kabisa 1.5m January mwanzoni kabisa...nikaumia nikaachia nikasamehe ilipopita February ni kama mgodi ulitemaHakika kaka ila simu yangu na laki tatu ndo hizo zimeshakwenda january hii hii...ila ibilisi atashindwa
Ohh kwahiyo wewe unamuelezeaje huyo mungu wa kike?Sio Mungu wa kike! Ni mungu wa kike. Kuna tofauti kubwa sana mtu aandikapo "mungu" na "Mungu"
Katika mwaka kuna kufunga mwaka na kufungua mwaka.
Mwanzo wa wa kitu ndipo ambapo tuna uwezo wa kuweka kitu kiwe ni kibaya au kizuri
Waswahili wanasema siku nzuri huonekana asubuhi
## mwezi wa kwanza ni kipindi cha kupanda kitu chema ambacho kitakua na wewe mwaka mzima.
Mwezi wa1 ni lango pia. Au mwez wa 1 unaweza pitisha vitu unavyo vitaka.
Na siku, mwaka huwa zina masikio
Kwanini nasema vinauwezo wa kukusikia..
Kama nchi( ardhi) inaweza kukusikia kwanini siku zisikie?
Hii wiki nilikuwa nasoma Neno, hii sehemu nilikuwa nasoma
Hesabu 20:8
Twaa ile fimbo, ukawakusanye mkutano, wewe na Haruni ndugu yako, ukauambie mwamba mbele ya macho yao utoe maji yake...
Mungu aliwaambia Musa na Harun wauambie mwamba utoe maji.
## kumbe hata mwamba unasikia
Tuje katika topic.
Mungu aliwaambia wana wa Israel wazaliwa wa 1 wa wanyama na watu ni wangu
: Mfano Tukija ktk Biblia
Mungu anasema kile cha1 ni cha kwakwe.
Wazaliwa wa1 ( wafunguao tumbo ni wake)
Ina maana mwez wa1 ni wake
Anapotaka kuwahi kitu cha 1 ili aweze kulinda na wale wazaliwa wanao fuata
Ukiwahi mwez wa1 ukimpa Mungu ina maana miez yote yeye atakuwa hapo
15 Kila kifunguacho tumbo, cha wenye mwili wote watakachomsongezea BWANA cha wanadamu na cha wanyama, ni chako; lakini mzaliwa wa kwanza wa binadamu, huna budi utamkomboa, na mzaliwa wa kwanza wa wanyama wasio safi utamkomboa.
16 Na hao watakaokombolewa katika wanyama hao, tangu aliyepata umri wa mwezi mmoja utamkomboa, kama utakavyohesabu kima chake, kwa fedha ya shekeli tano, kwa shekeli ya mahali patakatifu (nayo ni gera ishirini).
17 Lakini mzaliwa wa kwanza wa ng’ombe, au mzaliwa wa kwanza wa kondoo, au mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, hutawakomboa hao; maana, ni watakatifu hao; utanyunyiza damu yao katika madhabahu, na kuyateketeza mafuta yao kuwa sadaka iliyosongezwa kwa BWANA kwa moto, iwe harufu ya kupendeza.
Hesabu 18
: 22 Nanyi twaeni tawi la hisopu, mkalichovye katika ile damu iliyo bakulini na kukipiga kizingiti cha juu, na miimo miwili ya mlango, kwa hiyo damu iliyo katika bakuli; tena mtu ye yote miongoni mwenu asitoke mlangoni mwa nyumba yake hata asubuhi.
23 Kwa kuwa BWANA atapita ili awapige hao Wamisri; na hapo atakapoiona hiyo damu katika kizingiti cha juu, na katika ile miimo miwili, BWANA atapita juu ya mlango, wala hatamwacha mwenye kuharibu aingie nyumbani mwenu kuwapiga ninyi.
Kutoka 12
: Uambie mwezi wa 1 wewe ni lango na 2017 ni mzaliwa1 na mwaka mpya napaka damu ya pasaka( damu ya Yesu) katika miimo na vizingiti vya malango wala mambo mabaya hayatapita hapa
: Panda kwa imani.
: Unaweza tumia sadaka kuiambia sadaka napanda mbegu ya mwaka huu nataka hichi na hichi na hichi na sitak kuona hichi na hichi
Vyoote unavyo vitaka nena mwaka 2017 sikia neno la Bwana na ww mwez wa kwanza sikia neno la Bwana na ww mbingu na ardhi mnakuwa mashaid napanda mbegu hii kupitia sadaka yangu hii
Mfano nitafanikiwa huu mwaka
Sitoumwa
Sitozika vifo vinavyo tokana na wachaw uganga au shirikina labda kifo kinacho tokana na mapenzi ya Mungu
Au nitajenga, nitakuwa na kibal cha Bwana niingiapo na nitokapo
: Sitopoteza bal nitapata tu.
Mim na familia yangu ni watu wa afya tu
: Na taja vitu vyote vibaya uambie mwaka 2017 na ww mwez wa1 sikia
Sitaki hich na hichi.
: Mwez wa1 ni lango kama vile mtoto wa1 ni lango
: Na ktk lango kuna vita
: Shetan anapanda vyake na Mungu pia anapanda
: Sasa inategemea
: Unasimama upande upi
: Unapo tamka neno kuna roho inafuatilia ndani yake yaan roho kamil itahikikisha kile kitu kitokee
[: Ukiangalia kutoka 12: 20 na kuendelea
: Utaona kabisa Mungu baada ya kuvuka yale majaribu wana wa Israel walianza mwez wa 1 mwaka 1 ktk maisha yao
: Kama mwez wa1 ni lango linaweza pitisha chochote kile
: Nani alinde ule mlango?
Achilia damu ya pasaka ktk miimo na vizingiti vya malango ili mwovu asipitishe vya kwake
: Hata wachaw wanafanya hivyo hivyo wana miez maalum ya kuweka vya kwao
: Na wanatamka
: Na ww tamka usinenee ndani ya moyo
: Kuna nguvu ya kinywa ukisema yanatokea
endelea dada asante sana kwa kujaUbarikiwe sana ww dada!!Katika mwaka kuna kufunga mwaka na kufungua mwaka.
Mwanzo wa wa kitu ndipo ambapo tuna uwezo wa kuweka kitu kiwe ni kibaya au kizuri
Waswahili wanasema siku nzuri huonekana asubuhi
## mwezi wa kwanza ni kipindi cha kupanda kitu chema ambacho kitakua na wewe mwaka mzima.
Mwezi wa1 ni lango pia. Au mwez wa 1 unaweza pitisha vitu unavyo vitaka.
Na siku, mwaka huwa zina masikio
Kwanini nasema vinauwezo wa kukusikia..
Kama nchi( ardhi) inaweza kukusikia kwanini siku zisikie?
Hii wiki nilikuwa nasoma Neno, hii sehemu nilikuwa nasoma
Hesabu 20:8
Twaa ile fimbo, ukawakusanye mkutano, wewe na Haruni ndugu yako, ukauambie mwamba mbele ya macho yao utoe maji yake...
Mungu aliwaambia Musa na Harun wauambie mwamba utoe maji.
## kumbe hata mwamba unasikia
Tuje katika topic.
Mungu aliwaambia wana wa Israel wazaliwa wa 1 wa wanyama na watu ni wangu
: Mfano Tukija ktk Biblia
Mungu anasema kile cha1 ni cha kwake.
Wazaliwa wa1 ( wafunguao tumbo ni wake)
Ina maana mwez wa1 ni wake
Anapotaka kuwahi kitu cha 1 ili aweze kulinda na wale wazaliwa wanao fuata
Ukiwahi mwez wa1 ukimpa Mungu ina maana miez yote yeye atakuwa hapo
15 Kila kifunguacho tumbo, cha wenye mwili wote watakachomsongezea BWANA cha wanadamu na cha wanyama, ni chako; lakini mzaliwa wa kwanza wa binadamu, huna budi utamkomboa, na mzaliwa wa kwanza wa wanyama wasio safi utamkomboa.
16 Na hao watakaokombolewa katika wanyama hao, tangu aliyepata umri wa mwezi mmoja utamkomboa, kama utakavyohesabu kima chake, kwa fedha ya shekeli tano, kwa shekeli ya mahali patakatifu (nayo ni gera ishirini).
17 Lakini mzaliwa wa kwanza wa ng’ombe, au mzaliwa wa kwanza wa kondoo, au mzaliwa wa kwanza wa mbuzi, hutawakomboa hao; maana, ni watakatifu hao; utanyunyiza damu yao katika madhabahu, na kuyateketeza mafuta yao kuwa sadaka iliyosongezwa kwa BWANA kwa moto, iwe harufu ya kupendeza.
Hesabu 18
Hapo juu Mungu anataka cha1, ukipanda cha1 kwa Mungu vyote vinavyo fuata atavilinda sababu kuna nguvu ya kitu cha 1( mwezi)
: 22 Nanyi twaeni tawi la hisopu, mkalichovye katika ile damu iliyo bakulini na kukipiga kizingiti cha juu, na miimo miwili ya mlango, kwa hiyo damu iliyo katika bakuli; tena mtu ye yote miongoni mwenu asitoke mlangoni mwa nyumba yake hata asubuhi.
23 Kwa kuwa BWANA atapita ili awapige hao Wamisri; na hapo atakapoiona hiyo damu katika kizingiti cha juu, na katika ile miimo miwili, BWANA atapita juu ya mlango, wala hatamwacha mwenye kuharibu aingie nyumbani mwenu kuwapiga ninyi.
Kutoka 12
Tuje hapo chini
: Uambie mwezi wa 1 wewe ni lango na 2017 ni mzaliwa1 na mwaka mpya napaka damu ya pasaka( damu ya Yesu) katika miimo na vizingiti vya malango wala mambo mabaya hayatapita hapa
Utapitisha mema tu na sio mabaya
: Panda kwa imani.
: Unaweza tumia sadaka kuiambia sadaka napanda mbegu ya mwaka huu nataka hichi na hichi na hichi na sitak kuona hichi na hichi
Vyoote unavyo vitaka nena mwaka 2017 sikia neno la Bwana na ww mwez wa kwanza sikia neno la Bwana na ww mbingu na ardhi mnakuwa mashaid napanda mbegu hii kupitia sadaka yangu hii
Mfano nitafanikiwa huu mwaka
Sitoumwa
Sitozika vifo vinavyo tokana na wachaw uganga au shirikina labda kifo kinacho tokana na mapenzi ya Mungu
Au nitajenga, nitakuwa na kibal cha Bwana niingiapo na nitokapo
: Sitopoteza bal nitapata tu.
Mim na familia yangu ni watu wa afya tu
: Na taja vitu vyote vibaya uambie mwaka 2017 na ww mwez wa1 sikia
Sitaki hich na hichi.
: Mwez wa1 ni lango kama vile mtoto wa1 ni lango
: Na ktk lango kuna vita
: Shetan anapanda vyake na Mungu pia anapanda
: Sasa inategemea
: Unasimama upande upi
: Unapo tamka neno kuna roho inafuatilia ndani yake yaan roho kamil itahikikisha kile kitu kitokee
[: Ukiangalia kutoka 12: 20 na kuendelea
: Utaona kabisa Mungu baada ya kuvuka yale majaribu wana wa Israel walianza mwez wa 1 mwaka 1 ktk maisha yao
: Kama mwez wa1 ni lango linaweza pitisha chochote kile
: Nani alinde ule mlango?
Achilia damu ya pasaka ktk miimo na vizingiti vya malango ili mwovu asipitishe vya kwake
: Hata wachaw wanafanya hivyo hivyo wana miez maalum ya kuweka vya kwao
: Na wanatamka
: Na ww tamka usinenee ndani ya moyo
: Kuna nguvu ya kinywa ukisema yanatokea
Mbingu na nchi zikawe shahidi
Iambie
Mbingu na nchi mkawe mashahidi wa haya niliyo tamka na mkaweke kumbukumbu ndani yake
Kumb 30:19a
Nazishuhudiza mbingu na nchi juu yenu hivi leo......
Mbingu na nchi zaweza kuwa mashahid wako zinasikia
## kumbukw toba kabla hujaanza maombi hayo
Shika sadaka utajua pa kupeleka madhabahu ipi
Kama yatima kama kanisani
Lakin hakikisha unaiweka ktk madhabahu sahihi
## watu mtauliza na sadaka tena?
Sadaka ina nguvu na inaongea
Upande wa nguv za giza huwa hawafanyi vitu vyao bila sadaka
Tutoe sadaka kwa Mungu aliye hai.
Mungu awabariki
Amen mumy nawe piaUbarikiwe sana ww dada!!
Asante sana kwa nyongeza na ufafanuzi mzuriPia ikumbukwe kuna callendar tatu,
1. Ya kirumi ambayo siku huaza na kumalizika saa 6:00 usiku,
Mwanzo wa wiki ni jumatatu na mwisho wa wiki ni jumapili .
2. Ya kiyahudi siku humalizika na kuaza siku mpya saa 12:00 jioni,
Ya kiyahudi siku ya kwanza ya juma ni jumapili, na jumamosi kwao ni sabato siku ya saba ya juma.
3. Ya kiislamu siku ya kwanza ya wiki ni jumamosi na siku ya 7 kwa wiki ni ijumaa.
mshana jr naomba kujua maana ya hii picha uliyoambatanisha, uhusika wake na mada kama siyo pambo tuu la uzi wakoView attachment 459432
Kwa hesabu zetu huu ni mwanzo wa mwaka Kwa mujibu wa kalenda tunayoitumia, zipo kalenda nyingi lakini hii ndio iliyomakinika na kuwa na nguvu hivyo yote yatakayofanyika na kutokea Kwa mwaka huu yataathiriwa sana na kalenda hii.
January ni mwezi wa kwanza kabisa katika mwaka wenye miezi 12, ni kama ilivyo tarehe moja kwenye mwezi wenye siku 28 ama Jumatatu kwenye juma lenye siku saba.
January ni lango kama ilivyo kwa mtoto wa kwanza na ni shamba jipya linalopaswa kupandwa mbegu bora kwa ajili ya kupata mazao bora
December yako ambayo ndio mwisho wa mwaka itategemea umeanzaje January yako.
Kidunia utaweka mipango na matarajio sahihi ukiweka nadhiri na kunuia kufanya mambo kadha ambayo yatatiwa nguvu kiimani na sadaka yako...jipange kukataa mabaya yote nia kupata yale unayotamani kupata kwa njia sahihi na mipango thabiti.
Kumbuka lango huingiza chochote kama halina kizuizi wakati unaweka nadhiri zako kupitia dua maombi na sadaka kuna upande wa giza nao unapanga yake.
Wakati Mungu akikupangia hili na lile (kwa wale waamini)shetani naye anapanga yake...kila penye chanya hapakosi hasi.
Hapa inategemea unasimamia wapi nguvu yako iko upande gani , unaweza kuwa ni mshika dini mzuri lakini matendo yako yakawa hasi yasiyo na misingi yoyote ya kile unachokiamini..unaweza ukawa ni unajua unachokitaka lakini ukawa huna mwongozo sahihi wa kukipata.
Jitafakari na utengeneze lango lako sasa chukua muda wa kutosha kutafakari ulikotoka makosa uliyofanya ulipo na uendako.
January yako ifanye kuwa lango sahihi kwa kuzuia nguvu hasi zote zinazokuandama zikatae kwa kunia kwa kinywa chako mwenyewe ili utengeneze mbegu ya roho itakayokupa matokeo mema.
View attachment 459433.....!
Nakuombea...!
NB: Mada hii ni kwa msaada mkubwa wa dada Divine...
Pamoja mkuu