Jr_peace9367
Member
- Jul 20, 2019
- 7
- 10
Siasa ni mchezo mchafu sana wenye weledi ndio wanoa teseka siku zote,mimi binafsi sijaona sababu ya makamba kutolewa sijaona mantiki ata kidogo ila naelewa kuwa nia na dhumuni ni kulinda maslai ya chama cha mapinduzi na sio wananchi
Na kama bashe asinge ongea kuhusu maswala ya barua ya wazee wa ccm kuwa makosea ata icho cheo asingepewa
Nchi imekuwa jalala la vibaraka ukisifia kidogo unapata chakula cha familia yako na ukiwa mkwel kwa maslai ya nchi unanyanganywa chakula cha familia yako